rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Manara yuko sahihi, simba walimvumilia sana banda kuna mechi na yanga alipewa kadi nyekundu ya makusudi kabisa pia kitendo cha kumpiga mchezaji wa kagera sugar tabia za banda na nyoso zimepishana kidogo leo kila akija yeye na vyombo vya habari ajifunze kwa akina Sammata wao miguu ndio inaongeza zaid