Haji Manara baadae atasema aliombwa na Waziri aombe msamaha?!

Haji Manara baadae atasema aliombwa na Waziri aombe msamaha?!

Halafu akisamehewa utamsikia
"Haki imetendeka"
Watu wanamuonea wivu kwa umaarufu wake
Yanga inahujumiwa
Vita ni kubwa sana🤩
Na maneno mengine mengi 🤩🤩🤩
 
Huyu jamaa bana. Amemuomba waziri msamaha halaf mwishoni anamsonya 😢
 
Mimi naona hili sakata ni kama vile linamuongezea umaarufu Haji kuliko kumpoteza!
 
Back
Top Bottom