MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Halafu nashangaa sana kuona ya kwamba ulitumia Nguvu Kubwa Kulisemea hili Mitandaoni huku Ukiwatisha Simba SC lakini ghafla ukapoa na sasa hivi hutaki hata Kuliongolea.
Tunajua ni huyu huyu "Failure Lawyer' Alex Mgongolwa ndiyo alikutia Ndimu ( Kushawishi ) uwashtaki Simba SC kwa Kukuajiri bila Mkataba ila kuna Wakili Mmoja Mstaarabu na Makini (namhifadhi Jina) alikuita Kwake Mikocheni (si mbali na kwa Mzee Warioba) na Kukuonya kutofanya hivyo kwani kuna mahala nawe ulikosea na Simba SC wangekutega hapo hapo na Kuumbuka kama ambavyo Wewe na Yanga SC yako jana mmeumbuka huko CAS na sasa mmekuwa Wapole kama Kuku wanaoumwa Kideri.
Endelea kuwaona Simba SC ni Mazuzu!!