HAJI MANARA FUTA KAULI.... SIMBA HAMNA UWEZO HUO

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Haji Manara alijinasibu kwamba Simba wana uwezo wa kucheza mechi mbili ndani ya siku moja! kutokana na upana wa kikosi
swali je kwa nini TFF wamewapa wiki mbili dhidi ya Nkana wakaweka viporo vya ligi ambavyo pia vimeota Nyasi yanga anasonga mbele hahahaaaaa....... Mikia (MBUMBUMBU) FC bwana hizo mbwembwe zote ziko wapi hamna uwezo huo na hamtatoka kwa Nkana
 
na mishahara yote imeshatoka .. Azam ajiandae na maumivu
 
Chungu lakini dawa, chagua mwenyewe kumeza ama kutema!!
 
Mkuu, na kama mechi ya mkia FC itakuwa Nkana FC stadium sioni Simba akishinda ugenini.
Huu Uwanja lazima upoteze watu.
 
Hahahaaa Manara akiwa na kikosi chenye uwezo wa kucheza mechi mbili kwa siku moja ila kwa Nkana Fc wiki mbili mnachekesha sana MIKIA FC (MBUMBUMBU FC)
 

Attachments

  • download.jpg
    12.2 KB · Views: 29
Yanga mzima mtu mwenye akili, Mzee akilimali basi, Wengine akili zao kama Zahera tu.
Hivi Simba ndiyo inapanga ratiba ya ligi, Waambieni Hao TFF, wapange mnavyoona nyie, alafu muone maneno ya manara, yakitimia.
Hivi watu mkivaa hizi nguo za kijani akili zinahama ee, mnamtaka Manara afute kauli kashwindwa kufanya lipi linaloendana kauli yake, Kijani ni shidaa po po te walipo.
 
na mishahara yote imeshatoka .. Azam ajiandae na maumivu
Kuna siku Azamu wamedai mshahara, Kumbe ni kweli, ukiwa na njaa, akili zako huwaza kula kula tu.

Sababu yanga wanadai, unazani wachezaji wa Azamu huwaza mishahara, mishahara kwa wechezaji wa Azamu wanajua kila ikifika muda wake wanalipwa.
 
Nilisema Thread hii imewauma wameanza kuja na Matusi kwani nani asiyejua kuwa TFF ni Simba (mapacha) ratiba inapangwa na SIMBA na TFF tena wakiwa jengo la Simba kama hujui
 
Nilisema Thread hii imewauma wameanza kuja na Matusi kwani nani asiyejua kuwa TFF ni Simba (mapacha) ratiba inapangwa na SIMBA na TFF tena wakiwa jengo la Simba kama hujui
Tusi, liko wapi naomba unionyeshe, Zaidi ya maneno ya Kenyeri tu nilioandika hapo, kama nyie mnavyo tukajeli.
Wewe umeacha kujibu hoja una kuja kulalamika Kutolewa akili kwani mnazo.
 
Tusi, liko wapi naomba unionyeshe, Zaidi ya maneno ya Kenyeri tu nilioandika hapo, kama nyie mnavyo tukajeli.
Wewe umeacha kujibu hoja una kuja kulalamika Kutolewa akili kwani mnazo.
Tatizo mkiambiwa ukweli mnapaniki ukweli utabaki kuwa ukweli MBUMBUMBU hamna uwezo huo
 
Tatizo mkiambiwa ukweli mnapaniki ukweli utabaki kuwa ukweli MBUMBUMBU hamna uwezo huo
Hapa alie paniki ni nani, kama siyo wewe Kijani, Una mtaka Haji kauli yake, nimekuuliza Wapi Simba ilipopangia Mechi mbili, ikashindwa kucheza ili Haji afute Kauli, maana Simba haipangi ratiba.

Sasa sijaona kama unaandika kuendana na mada iliyopo, alafu nawe unawaita wenzio Mbumbu, ni kichekesho.
 
Mkuu kivipi Zahera unamuona hana akili?
Ratiba inapangwa na TFF ni kweli lakini simba wameomba wasicheze mechi ya ligi kuu kwaajili ya kujiandaa mechi dhidi ya Nkana
 
Mkuu kivipi Zahera unamuona hana akili?
Ratiba inapangwa na TFF ni kweli lakini simba wameomba wasicheze mechi ya ligi kuu kwaajili ya kujiandaa mechi dhidi ya Nkana
Zahera nimemtoa akili pale, alipolalamika, Kakolanya, kuwana meneja wa Simba, alafu kocha wa kimataifa. Anajua mpira ni pesa, mchezaji anaweza yeye mwenyewe, akawa na mapenzi ya moyoni na timu moja wapo kati Simba au Yangaa, na akacheza upande wa pili.

Sina haja ya kutoa mifano wachezaji wa namna hiyo unawajua maana wengi tu wachezaji waliochezea timu zote mbili.

Lakini je amejiuliza, Siku Yanga ilipocheza na Simba, kuwa mpambano ule ndiyo uliempandisha Kakolanya.

Naamini Watakua wamemwambia, Zahera, kuwa Timu tatu zilizomdindia Simba, mbili zinafundishwa na Makocha walioichezea Simba, na ni wanachama pale Simba.

Sasa kocha gani wa Kimataifa mwenye akili timamu anapotaka kumsajili mchezaji, anaangalia meneja wake ni mpenzi wa timu gani.
Kuhusu Simba kuomba mechi zake kusogeza mbele, mimi sijasikia kuhusu Ombi hilo, ila naona TFF, wenyewe wameona umuhimu wa mechi za Simba kimataifa wakawapa muda.
Hebu weka hapa, hayo maombi nami niungane nawe, kumshinikiza Manara avute kauli, Maana huyu jamaa najua ana maneno akiongea Yanga wanachafukwa, na kama ni mwanamke anaeipenda Yanga na ni mjanzito, akimsikia Manara, akiongelea mpira Ujauzito lazima Untoke.
 
Naona povu linaendelea kukutoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…