Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Walianzisha neno kutoa Povu, walimaanisha mtu, anapo ongea kwa nguvu, alafu anaongea mda mrefu, ndipo povu mtoka pembezoni mwa mdomo.Naona povu linaendelea kukutoka
Ila kwenye kuandika sidhani kama kuna povu, sema kidole inacheza na Simu Shoga maana mpaka iitie kidole.
Ila usijali wewe kijani, ni utani tu.
Cha maana jibu hoja zangu kwa hoja ili tuendane na kichwa cha mada, ukiona natoa povu jua, kuna Kijani katoa povu.