HAJI MANARA FUTA KAULI.... SIMBA HAMNA UWEZO HUO

Naona povu linaendelea kukutoka
Walianzisha neno kutoa Povu, walimaanisha mtu, anapo ongea kwa nguvu, alafu anaongea mda mrefu, ndipo povu mtoka pembezoni mwa mdomo.
Ila kwenye kuandika sidhani kama kuna povu, sema kidole inacheza na Simu Shoga maana mpaka iitie kidole.
Ila usijali wewe kijani, ni utani tu.
Cha maana jibu hoja zangu kwa hoja ili tuendane na kichwa cha mada, ukiona natoa povu jua, kuna Kijani katoa povu.
 
Kanuni za fofa ndio zaibana simba ila ina uwezo kabisaaaaaa, manara hajakosea. Kima salamba wamatosha kuisambaratisha yanga huku kina okwi wakiwa nje ya nchi.
 
Mechi na Biashara kabla ya kucheza na Yanga..
mliandika barua TFF ipanguliwe mjiandae kucheza na mabingwa wa kihistoria..
sasa hivi labda mmeomba kimyakimya TFF wakawafichia aibu yenu..maana wote pale mikia..
 
Mbona maneno ya This is simbaa na 4 G hayasikiki siku hizi nini kimetokea kwa kikosi kipana?
 
Mimi nimeomba uweke ushahidi hapa, unaendelea kuandika yale yale, ya mtaani kwenu, umeambiawa na mama Juma, wanaume hawabishani kwa sababu tu wanabishana, bali wanabishana ili kupata mwafaka.
 
Reactions: Tui
Mbona maneno ya This is simbaa na 4 G hayasikiki siku hizi nini kimetokea kwa kikosi kipana?
Wanyumbani kwani wewe ni jinsia gani, nauliza hivi maana kila jinsia, wana tabia zinazotofautiana.

Mechi ya mwisho Simba kucheza, matokeo yalikuaje, au wewe unaandika tu ili nawe ufurahishe tu nafsi kuwa umeandika Jamii forums.
 
Yule Mgonjwa wa akili ndo maana anaropoka ropoka sana,na tifua tifua hii ya karia ndo zero kabisa
 
Wanyumbani kwani wewe ni jinsia gani, nauliza hivi maana kila jinsia, wana tabia zinazotofautiana.

Mechi ya mwisho Simba kucheza, matokeo yalikuaje, au wewe unaandika tu ili nawe ufurahishe tu nafsi kuwa umeandika Jamii forums.
Ahaa kumbe mnasubilia mwanze kucheza viporo ndipo tutasikia hayo maneno yenu au napo hamtaweza kwasababu hata mkivimaliza nafasi ya kwanza na ya pili si yenu?
 
Ahaa kumbe mnasubilia mwanze kucheza viporo ndipo tutasikia hayo maneno yenu au napo hamtaweza kwasababu hata mkivimaliza nafasi ya kwanza na ya pili si yenu?
Hivi wewe Unaongelea, nini hasa, Unajua, kuna watu humu hawaelewi hata wanachoandika, ndiyo aina ya mashabiki wa Yanga hawa.
Labda niwapongezeni tu, kwa kumsajili Haruna Moshi, Boban.
Hongereni kwa hatua hiyo mengine sioni mwenye uweze wa kujibu hoja kwa hoja hapa, labda mkusanyane matawi ya wanachama wa Yanga angalau Sita hivi, henda kwenye uwingi huo ndimo anaweza kupatika anaeweza kujibu hoja kwa hoja.
 
Reactions: Tui
Mtani naona hutaki kukubali ukweli rejea mada ukweli ni kwamba mliomba msicheze ligi hivyo hamna uwezo WA kucheza mechi mbili kwa siku moja ubishi wa nini na hyo ndo shida mbumbumbu hamtaki kukubali mbona yanga tunakubali hali ya kifedha nI mbaya nani asiyejua kuwa Karia ni Simba mambo mengine jiongeze mtani
 
Wengi walikuwa kama wewe lakina hawaonekani endelea kuitetea timu yenu, nawe utatokomea kusikojulikana au wewe utaaga kuwa umejiuzuru kuitetea simba?
 
Mkuu Madhara ya njaa mkuu.Ukiwa na njaa unapoteza uwezo wa kutoa maamuzi au hoja zenye mantiki. Kocha kaleta mchezaji sijui anaitwa Bomba mapoyoyo wakamshangilia uwanjani. Leo kabadilika ohh Bomba huyu sio yule ninayemjua. Afadhali tumsajili Boban. Bado Nurdin Bakari na Mwalala.
Chezea njaa wewe.
 
Wengi walikuwa kama wewe lakina hawaonekani endelea kuitetea timu yenu, nawe utatokomea kusikojulikana au wewe utaaga kuwa umejiuzuru kuitetea simba?
Naitetea kwa tuhuma gani, Simba ni Simbs tu tutaendelea kuwatesa tu.

Na manara ataendelea kuwatapisha tu, na wajawazito wa ujauzito uwatoke.
 
Ni kweli kabisa mkuu, hakuna kitu kibaya kama njaa.
Wamebaki wana weweseka tu.
 
Yule ni taahira anayewakilisha mamia ya mataahira wengine. Wala usishangae mkuu.
 
Hahahaaa Manara akiwa na kikosi chenye uwezo wa kucheza mechi mbili kwa siku moja ila kwa Nkana Fc wiki mbili mnachekesha sana MIKIA FC (MBUMBUMBU FC)
Hahahaha...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…