Haji Manara alijinasibu kwamba Simba wana uwezo wa kucheza mechi mbili ndani ya siku moja! kutokana na upana wa kikosi
swali je kwa nini TFF wamewapa wiki mbili dhidi ya Nkana wakaweka viporo vya ligi ambavyo pia vimeota Nyasi yanga anasonga mbele hahahaaaaa....... Mikia (MBUMBUMBU) FC bwana hizo mbwembwe zote ziko wapi hamna uwezo huo na hamtatoka kwa Nkana
jibu hoja kwani tunaulzana vidato hapaUmeishia darasa la ngapi
Ni punguani pekee anayeweza kumsikiliza ManaraZahera nimemtoa akili pale, alipolalamika, Kakolanya, kuwana meneja wa Simba, alafu kocha wa kimataifa. Anajua mpira ni pesa, mchezaji anaweza yeye mwenyewe, akawa na mapenzi ya moyoni na timu moja wapo kati Simba au Yangaa, na akacheza upande wa pili.
Sina haja ya kutoa mifano wachezaji wa namna hiyo unawajua maana wengi tu wachezaji waliochezea timu zote mbili.
Lakini je amejiuliza, Siku Yanga ilipocheza na Simba, kuwa mpambano ule ndiyo uliempandisha Kakolanya.
Naamini Watakua wamemwambia, Zahera, kuwa Timu tatu zilizomdindia Simba, mbili zinafundishwa na Makocha walioichezea Simba, na ni wanachama pale Simba.
Sasa kocha gani wa Kimataifa mwenye akili timamu anapotaka kumsajili mchezaji, anaangalia meneja wake ni mpenzi wa timu gani.
Kuhusu Simba kuomba mechi zake kusogeza mbele, mimi sijasikia kuhusu Ombi hilo, ila naona TFF, wenyewe wameona umuhimu wa mechi za Simba kimataifa wakawapa muda.
Hebu weka hapa, hayo maombi nami niungane nawe, kumshinikiza Manara avute kauli, Maana huyu jamaa najua ana maneno akiongea Yanga wanachafukwa, na kama ni mwanamke anaeipenda Yanga na ni mjanzito, akimsikia Manara, akiongelea mpira Ujauzito lazima Untoke.
Sasa nyie mlijuaje kama kasema hv ama vile bila kumsikiliza na uzi mkaunzisha nyie punguani?Ni punguani pekee anayeweza kumsikiliza Manara
Hao porojo tu.....Mikia FC.Haji Manara alijinasibu kwamba Simba wana uwezo wa kucheza mechi mbili ndani ya siku moja! kutokana na upana wa kikosi
swali je kwa nini TFF wamewapa wiki mbili dhidi ya Nkana wakaweka viporo vya ligi ambavyo pia vimeota Nyasi yanga anasonga mbele hahahaaaaa....... Mikia (MBUMBUMBU) FC bwana hizo mbwembwe zote ziko wapi hamna uwezo huo na hamtatoka kwa Nkana
jibu hoja kwani tunaulzana vidato hapa
Em weka quote yote ya Zahera kuhusu alichosema kuhusu kesi ya Beno kuwa na meneja ambaye ana nafasi ndani ya Simba.Zahera nimemtoa akili pale, alipolalamika, Kakolanya, kuwana meneja wa Simba, alafu kocha wa kimataifa. Anajua mpira ni pesa, mchezaji anaweza yeye mwenyewe, akawa na mapenzi ya moyoni na timu moja wapo kati Simba au Yangaa, na akacheza upande wa pili.