FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kwa hiyo wewe unamuelewa zaidi ya anavyojielewa mwenyewe?Aupashe ulimwengu ujinga wake.
Watafute tu hao CNN wakamuhoji. Unangoja nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe unamuelewa zaidi ya anavyojielewa mwenyewe?Aupashe ulimwengu ujinga wake.
Unamtetea mjinga?Mtu mzima kujipelekapeleka kwenye media kuongea juu ya mambo ya chumbani wewe unaona ni sawa kimaadili?Miss JF huna maadili.Kwa hiyo wewe unamuelewa zaidi ya anavyojielewa mwenyewe?
Watafute tu hao CNN wakamuhoji. Unangoja nini?
Na we kweli unaamini kabisa hiyo habari.Ma shaa Allah hiyo moja katika aamali kubwa za Kiislam. Mwenyezi Mungu amzidishie na atuzidishie imani.
Yeye anaona kawaida tu as long as anaingiza hela nyingi kupitia ujinga ujinga wake, kuna mengine anayafanya kwa umri wake aibu naona mimi.Kajaa ujinga tu...
Nasikia alishawahi kuwekwa kiunyumba na Mzee mmoja maghorofa ya breweriesAkiwa kwenye kwenye kipindi cha Leo Tena cha Cloudsfm, Haji Manara amesema kuwa hajawahi kufanya mapenzi nje ya Ndoa.
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2873453
Huyu mzungu naskia akiachwa huwa anazimiaMara sjui tunaanda birthday na mke wangu mara sherehe party ntakuwa na mke wangu watu mje mtuoneeee
Yaani anamfanya mwanamke kama kinyagoooo toyyyy
Hawa sasa wabanduane watu wote waoneeee tu
Ova