Haji Manara: Haji wa mitandaoni na Haji halisi ni watu wawili tofauti. Siishi kama mnavyoniona mitandaoni

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Aliyekuwa Katibu wa Uenezi CCM jijini DSM Komredi Haji Manara amesema yeye ni mtu makini, anayeheshimika na jamii na mwenye utu

Manara amesema " Haji wa Social media na Haji Real ni Watu Wawili tofauti" na kama kuna mtu anabisha basi akawaulize Rafiki zake na Watu wake wa Karibu

Haji Manara amesema yeye haishi yale maisha ya mitandaoni bali ile ni Kazi kama Kazi nyingine

Source: Clouds TV
 
Amewahi kuwakatibu uenezi CCM!!? This is amazing if true[emoji854]
Kwani unaona manara ni mtoto,
Alishawahi kuwa mwana habari huyo

Alishawahi kuwa shekhe huyo

Manara ni mtu mzima mwenye umbo la ki JK JK .

Mtoto wa kariakoo huyo

Manara amekuwa akichambua mpira enzi hizo akina Maulid kitenge watoto watoto bado
 
Aliyekuwa Katibu wa Uenezi CCM jijini DSM Komredi Haji Manara amesema yeye ni mtu makini, anayeheshimika na jamii na mwenye utu

Manara amesema " Haji wa Social media na Haji Real ni Watu Wawili tofauti" na kama kuna mtu anabisha basi akawaulize Rafiki zake na Watu wake wa Karibu

Haji Manara amesema yeye haishi yale maisha ya mitandaoni bali ile ni Kazi kama Kazi nyingine

Source: Clouds TV
Sawa, kufilwa na wenzake ipoje? Tunaomba aje kutufafanulia hili
 
Manara anapenda kuongelewa sana umalaya sasa anafanya wazi wazi na hovyo
 
Back
Top Bottom