Haji Manara hakumtukana tuu Malinzi, Ameitukana FIFA. Ashikishwe adabu

Ckuw na cha kupost nd maan nlikaa kimya, sas ww kila uzi unapost tu licoment lako hlo umeambiwa ni lizur sana? Uwanawake huo
Hahahaha! Labda lina ukweli fulani kwenye kila uzi. teh teh
Lkn mi najiuliza, kama mechi ya simba na kagera ilikuwa ya 4 baada ya kagera kucheza na A. lion, hiyo adhabu ilikuwa haijaisha?
Timu zingine hazikuiona hiyo kadi?
TFF hawakuliona tatizo hilo? (TFF inayo mamlaka ya kuiadhibu timu inayomchezesha mchezaji mwenye kadi 3 hata kama timu pinzani isipopeleka malalamiko, kama sikosei?
 
Sasa TFF wanasubiri nini kumwambia athibitishe, au ni kweli??
 
Ingekuw ndo hvo had leo kucngekuwa na hoja hapo
 
Uko sahihi sana. Tatizo la nchi hii linapokuja suala la maslahi yoyote Yale, wahusika huweka taalauma zao pembeni ni kufuata maslahi. Nani anatakiwa kupewa point za Kagera kati ya timu ya kwanza kucheza nao na timu ya sita?
 
Ingekuw ndo hvo had leo kucngekuwa na hoja hapo
Nadhani Kagera wanajua zaidi kinachoendelea ndani ya TFF. Ingelikuwa Kagera walikosea wasingelikuwa na ujasiri wa kuipinga hukumu iliyotelewa dhidi yao na kamati ya saa 72.
 
04/03/2017 kagera vs majimaji ndo alipata kadi ya tatu ya njano usipotoshe watu. hivyo alipaswa kumisi game ya simba acheni kujitoa ufahamu, mbona nyi mlidai kwa azam na mkapewa mbona hamjusem in za mezani acheni double standard
 
binafc naona hapo kosa lake kubwa bw;Manara ktk sheria za Fifa ni kujaribu kuichanganya Siasa na Michezo na ktk Sheria za Fifa hilo ni kosa kisheria pale vile alisema Rais Magufuli aingilie suala hilo.
 
04/03/2017 kagera vs majimaji ndo alipata kadi ya tatu ya njano usipotoshe watu. hivyo alipaswa kumisi game ya simba acheni kujitoa ufahamu, mbona nyi mlidai kwa azam na mkapewa mbona hamjusem in za mezani acheni double standard
mbona na africa lyon imetajwa katika hili sakata
 
Wahaya mnabebana sana na mifano ipo na mnajiona mmesoma sana neno kidogo kienglish kidogo hii ni kwasababu mpo mpakani na uganda
Ni kweli tumesoma kiongozi, na kubebana ni kweli coz nyie ni akili ndogo. Ukweli mchungu kajinyonge
 
Tatzo letu Tanzania (TFF) huwa tutafanya maamuzi kwa kumuangalia mtu, kwamba Huyu ni nani na maslahi gani!

Kwa kitendo alicho fanya Haji manara kutukana TFF na viongozi wake ni kosa kubwa mno ambalo Adhabu yake ni kumfuta kujihusisha na mpira Kabisa.
 

Ndo walewale. Ya mzee Akilimali kimyaaaaaaaaaaaaa!!
 

Ikiwa hizo mechi zote alicheza, adhabu inaishaje? Hao uliowataja hawana cha kupoteza
 
Lile goli alilofunga Msuva jana Taifa ni adhabu tosha kwa Manara, hebu muacheni apumzike. Aliahidi kuwa Simba ikiwa bingwa atafunga ndoa, sasa mahari kishalipa lkn Kagera Sugar wamempa miwa ya makalio hana hamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…