Mr Mikazo
JF-Expert Member
- May 26, 2016
- 1,594
- 800
Ckuw na cha kupost nd maan nlikaa kimya, sas ww kila uzi unapost tu licoment lako hlo umeambiwa ni lizur sana? Uwanawake huoWeka post yako ambayo sio pumba kuipinga pumba ili tukuelewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ckuw na cha kupost nd maan nlikaa kimya, sas ww kila uzi unapost tu licoment lako hlo umeambiwa ni lizur sana? Uwanawake huoWeka post yako ambayo sio pumba kuipinga pumba ili tukuelewe
Hahahaha! Labda lina ukweli fulani kwenye kila uzi. teh tehCkuw na cha kupost nd maan nlikaa kimya, sas ww kila uzi unapost tu licoment lako hlo umeambiwa ni lizur sana? Uwanawake huo
Sasa TFF wanasubiri nini kumwambia athibitishe, au ni kweli??Amesema wahaya wamejazana TFF,malinzi,mwesigwa..........na timu kagera,mwamuzi mnazi wa kagera,uwanja kaitaba bukoba,mashahidi wahaya kutoka bukoba na amesema anao ushahidi wa TCRA malinzi akiamuru afisa wa ile kamati ya masaa 72 kutotangaza maamuziya kikao na amesema yuko tayari kuthibitisha yote hayo na popote pale shida iko wapi?
Ingekuw ndo hvo had leo kucngekuwa na hoja hapoHahahaha! Labda lina ukweli fulani kwenye kila uzi. teh teh
Lkn mi najiuliza, kama mechi ya simba na kagera ilikuwa ya 4 baada ya kagera kucheza na A. lion, hiyo adhabu ilikuwa haijaisha?
Timu zingine hazikuiona hiyo kadi?
TFF hawakuliona tatizo hilo? (TFF inayo mamlaka ya kuiadhibu timu inayomchezesha mchezaji mwenye kadi 3 hata kama timu pinzani isipopeleka malalamiko, kama sikosei?
Uko sahihi sana. Tatizo la nchi hii linapokuja suala la maslahi yoyote Yale, wahusika huweka taalauma zao pembeni ni kufuata maslahi. Nani anatakiwa kupewa point za Kagera kati ya timu ya kwanza kucheza nao na timu ya sita?Hahahaha! Labda lina ukweli fulani kwenye kila uzi. teh teh
Lkn mi najiuliza, kama mechi ya simba na kagera ilikuwa ya 4 baada ya kagera kucheza na A. lion, hiyo adhabu ilikuwa haijaisha?
Timu zingine hazikuiona hiyo kadi?
TFF hawakuliona tatizo hilo? (TFF inayo mamlaka ya kuiadhibu timu inayomchezesha mchezaji mwenye kadi 3 hata kama timu pinzani isipopeleka malalamiko, kama sikosei?
Nadhani Kagera wanajua zaidi kinachoendelea ndani ya TFF. Ingelikuwa Kagera walikosea wasingelikuwa na ujasiri wa kuipinga hukumu iliyotelewa dhidi yao na kamati ya saa 72.Ingekuw ndo hvo had leo kucngekuwa na hoja hapo
04/03/2017 kagera vs majimaji ndo alipata kadi ya tatu ya njano usipotoshe watu. hivyo alipaswa kumisi game ya simba acheni kujitoa ufahamu, mbona nyi mlidai kwa azam na mkapewa mbona hamjusem in za mezani acheni double standard*Uchungu zaidi ya leba*
31/12 Mwadui 2-1 Kagera Suger
14/01 Kagera 2-0 Ndanda
18/01 Kagera 2-1 A. Lyon
30/1 Kagera 2-1 Mtibwa
15/2 Prison 0-0 Kagera
20/2 Toto 1-1 Kagera
04/3 Kagera 1-0 Majimaji
02/4 Kagera 2-1 Simba
08/4 Kagera 0-0 Ruvu Stars
Ina maana
Mtibwa
Prison
Toto Africans
Majimaji waliocheza na Kagera kabla ya Simba hawakuziona hizo kadi? *Ngoja tulimiliki kombe moja kwa moja*
mbona na africa lyon imetajwa katika hili sakata04/03/2017 kagera vs majimaji ndo alipata kadi ya tatu ya njano usipotoshe watu. hivyo alipaswa kumisi game ya simba acheni kujitoa ufahamu, mbona nyi mlidai kwa azam na mkapewa mbona hamjusem in za mezani acheni double standard
Ni kweli tumesoma kiongozi, na kubebana ni kweli coz nyie ni akili ndogo. Ukweli mchungu kajinyongeWahaya mnabebana sana na mifano ipo na mnajiona mmesoma sana neno kidogo kienglish kidogo hii ni kwasababu mpo mpakani na uganda
Mtu aliesoma abebwiNi kweli tumesoma kiongozi, na kubebana ni kweli coz nyie ni akili ndogo. Ukweli mchungu kajinyonge
mahesabu ya kadi tatu yanahusisha na hiyo mechi mbona mnarudi nyuma...mbona na africa lyon imetajwa katika hili sakata
sasa hizo kadi tatu zimekaajemahesabu ya kadi tatu yanahusisha na hiyo mechi mbona mnarudi nyuma...
Ndo anabebwa sasa.......Mtu aliesoma abebwi
Ukweli unauma! Watu hawapendi kusikia maneno kama hayaWahaya mnabebana sana na mifano ipo na mnajiona mmesoma sana neno kidogo kienglish kidogo hii ni kwasababu mpo mpakani na uganda
Tatzo letu Tanzania (TFF) huwa tutafanya maamuzi kwa kumuangalia mtu, kwamba Huyu ni nani na maslahi gani!
Kwa kitendo alicho fanya Haji manara kutukana TFF na viongozi wake ni kosa kubwa mno ambalo Adhabu yake ni kumfuta kujihusisha na mpira Kabisa.
Hahahaha! Labda lina ukweli fulani kwenye kila uzi. teh teh
Lkn mi najiuliza, kama mechi ya simba na kagera ilikuwa ya 4 baada ya kagera kucheza na A. lion, hiyo adhabu ilikuwa haijaisha?
Timu zingine hazikuiona hiyo kadi?
TFF hawakuliona tatizo hilo? (TFF inayo mamlaka ya kuiadhibu timu inayomchezesha mchezaji mwenye kadi 3 hata kama timu pinzani isipopeleka malalamiko, kama sikosei?
Lile goli alilofunga Msuva jana Taifa ni adhabu tosha kwa Manara, hebu muacheni apumzike. Aliahidi kuwa Simba ikiwa bingwa atafunga ndoa, sasa mahari kishalipa lkn Kagera Sugar wamempa miwa ya makalio hana hamuSidhani kama huyubwana anaelewa maama ya ushabiki
Na kama angekuwa ana akili angeshtuka alichofanya Muro na adhabu aliyopita
Sikuamini matusi aliyotoa mbele ya press na TFF ikamkalia kimya
Labda nimkumbushe bwana haji manara ulipomtusi jamal malinzi hukumtusi yeye umetusi FIFA huyu ni mwakilishi wa nchi yetu kule FIFA
Nimeshangaa saana Wahaya kumkalia kimya Haji Manara alitakiwa ashikishwe adabu
Mwisho tunaomba apewe adhabu kali zaidi iwe fundishooo
Nadhani itakuwa fundisho tosha kwamba vilabu sioo sehemu ya kupatia umaarufu wakoo