Haji Manara hana baya, yeye michongo yote anaipata Instagram

Jamaa mtata sana sijui wanawake wa siku hizi wanataka nini !.Kila nikimtazama Manara nabaki na maswali mengi kuliko majibu.

Mungu ni mwema wakati wote.
 
Ex wa huyu dada aache kumsumbua huyu tayar ni mke wa msemaji mwenye nongwa
 
Kila nikifikiria mdomo wa manara na yale meno akili inagoma au ni filter jamani kututisha watu tuone mkaka hafai kupata warembo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…