Haji Manara hana baya, yeye michongo yote anaipata Instagram

Haji Manara hana baya, yeye michongo yote anaipata Instagram

Jamaa mtata sana sijui wanawake wa siku hizi wanataka nini !.Kila nikimtazama Manara nabaki na maswali mengi kuliko majibu.

Mungu ni mwema wakati wote.
 
Mali swafi kabisa, em wenye picha zaidi mtuwekee hapa tusio na account za insta
Nyingine iyo[emoji4][emoji116]
JamiiForums645407217.jpg
 
Ex wa huyu dada aache kumsumbua huyu tayar ni mke wa msemaji mwenye nongwa
 
Kila nikifikiria mdomo wa manara na yale meno akili inagoma au ni filter jamani kututisha watu tuone mkaka hafai kupata warembo?
 
Back
Top Bottom