Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Kila nikifikiria mdomo wa manara na yale meno akili inagoma au ni filter jamani kututisha watu tuone mkaka hafai kupata warembo?
Na ile pua uwiiii bado macho yao yalivyo jamani hao wadada wana moyo aki Mungu hakunyimi vyote
Ila ana binti mrembo kweli wala hata hajafata pua ya baba ake