Haji Manara, hapa ni lugha gongana. Umenifurahisha sana

Muda nyingine hivi vifaa vyetu vinalekebisha lugha bila wewe kujua, kama hautasoma tena ulichoandika kabla ya kutuma huwa inakua hivyo.
 
Reactions: Tui
Typing error ya kawaida sana hiyo. Hizi simu kuna wakati unaandika neno fulani na unakuja kukuta simu imepaste neno la tofauti, hivyo ni vizuri tuwe tunakagua tunachokipost kama kipo sawia.
 
Hayo makusudi tu huwa anafanya kucatch attention. Mara siku nyingine aandike Erea badala ya Area
 
Na hiyo kutaka attention ndio ulimbukeni wenyewe
 
Nikiiwambia huyo jamaa ni mbumbumbu mnabisha
Sasa kashindwa kuandika neno dogo kama hili vp darasani alikuwaje...halafu anajitapa eti ni msemaji wa timu kubwa
 
Nikiiwambia huyo jamaa ni mbumbumbu mnabisha
Sasa kashindwa kuandika neno dogo kama hili vp darasani alikuwaje...halafu anajitapa eti ni msemaji wa timu kubwa

Wivu tu huna lolote, mwanaume unakuwa na wivu kama dem, utakuwa mchawi ww
 
Ameandika wakati anaongea.Hii ni tofauti na ule uandishi wa b4( before) ,I will c(see) u(you) today etc ukitarajia msomaji akisoma lile neno wakati anatamka ataelewa.Nadhani alikuja kwenye angle hiyo,not sure.
wait
weight
 
Umbumbumbu unahusiana vipi hapo mkuu?
Nimetoa maoni yang, haji anaweza fanya hivo makusudi coz anajua wabongo tulivo...
We kwa akili yako unadhan mtu anaweza akanya ili apate attention??
Yaan wewe hata siku akinya utaasema hajanya bali kajipaka manukato

Hakuna kitu kibaya kama umbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…