Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokujua si kosa Mkuu maana unasahihishwa,na atakuwa amesahihishwaHaji ni mtu wa masihara sana, hapo kafanya kusudi amin nakuambia
yuko sawa...uzito wa mechiCha usiku upo [emoji41]
Wivu tu
Nikiiwambia huyo jamaa ni mbumbumbu mnabisha
Sasa kashindwa kuandika neno dogo kama hili vp darasani alikuwaje...halafu anajitapa eti ni msemaji wa timu kubwa
wait
weight
Acha kunionea wivu basi kwa comment yangu [emoji23][emoji23]Wivu tu huna lolote, mwanaume unakuwa na wivu kama dem, utakuwa mchawi ww
Yaan wewe hata siku akinya utaasema hajanya bali kajipaka manukato
Hakuna kitu kibaya kama umbumbumbu