Sio kosa lakini naangalia haki ya kundi moja inavyoweza kuingilia haki za wengine.Kwani Kuna kosa kuandamana siku ya uchaguzi !?
Ndio ifike muda wanasiasa wajifunze na kuheshimu sauti ya wengi. Tutaona namna watakavyotofautisha nani atakaeandamana na nani ataenda kupiga kura. Lakini ukweli ni huu, Watanzania wengi ni waoga, wengi wao wataogopa hata kufanya kitu chochote (kupiga kura au kuandamana) kwa hofu ya kukutana na ghasia au kipigo kutoka kwa polisi, hasa ikizingatiwa polisi wanaweza kuwa wamewekwa kila kona. Kwa kifupi, siwezi kuona wengi wakitoka kupiga kura au kuandamana,ngoja tuone.Sio kosa lakini naangalia haki ya kundi moja inavyoweza kuingilia haki za wengine.
Kwa nini wanaotaka kuandamana wasiandamane siku nyingine zote, mpaka siku moja kabla ya uchaguzi, na wachague kuandamana siku ya uchaguzi?
Huoni kuwa kuandamana siku ya uchaguzi ni kuingilia uchaguzi na haki ya watu kufanya uchaguzi bila bughudha?
Huoni ni kuchukua resources kama za ulinzi kutoka kwenye uchaguzi na kuzipeleka sehemu tofauti?
Kuna siku 365 katika mwaka, kwa nini wanaotaka kuandamana watake kuandamana siku ya uchaguzi?
Wana nia gani kuandamana siku ya uchaguzi?
Wanataka kusimamisha uchaguzi?
Angetafuta muda zaidi wa kuota jua kuliko kuanza kujipa majukumu yasiyomuhusuMkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv na Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Sunday Manara amewajibu wanaomsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na Vijana wanaoshinikiza kufanya maandamano kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.
Soma pia:29 Oktoba tunashirikije uchaguzi ikiwa haya hayajafanyiwa kazi?
Akizungumza Leo Septemba 18,2025 na waandishi wa habari Manara amesema amewaasa vijana kuacha kushinikizwa na kufanya maandamano wakati wa uchaguzi nkuongeza kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa dola
Bado hujanieleza kuandamana siku ya uchaguzi kuna accomplish nini.Ndio ifike muda wanasiasa wajifunze na kuheshimu sauti ya wengi. Tutaona namna watakavyotofautisha nani atakaeandamana na nani ataenda kupiga kura. Lakini ukweli ni huu, Watanzania wengi ni waoga, wengi wao wataogopa hata kufanya kitu chochote (kupiga kura au kuandamana) kwa hofu ya kukutana na ghasia au kipigo kutoka kwa polisi, hasa ikizingatiwa polisi wanaweza kuwa wamewekwa kila kona. Kwa kifupi, siwezi kuona wengi wakitoka kupiga kura au kuandamana,ngoja tuone.
Mfano mimi kila siku naandamana nikiandama siku ya uchaguzi ni kosa au maandamano mnafikiri ni yale ya kutembea kikundi na mabango tu?Sio kosa lakini naangalia haki ya kundi moja inavyoweza kuingilia haki za wengine.
Kwa nini wanaotaka kuandamana wasiandamane siku nyingine zote, mpaka siku moja kabla ya uchaguzi, na wachague kuandamana siku ya uchaguzi?
Huoni kuwa kuandamana siku ya uchaguzi ni kuingilia uchaguzi na haki ya watu kufanya uchaguzi bila bughudha?
Huoni ni kuchukua resources kama za ulinzi kutoka kwenye uchaguzi na kuzipeleka sehemu tofauti?
Kuna siku 365 katika mwaka, kwa nini wanaotaka kuandamana watake kuandamana siku ya uchaguzi?
Wana nia gani kuandamana siku ya uchaguzi?
Wanataka kusimamisha uchaguzi?
Kwani kuna ubaya gani wakati kila siku watu wanaandamana kimya kimya nini shida na wewe? Watu wanaandama kwenda makazini, shuleeni, hospitalini, ibadani, kanisani , msikitini. Hata kwenda kupiga kula ubwabwa misosi watu wanaandama kwani wewe kuandamana unaelewa inamaanisha nini?Bado hujanieleza kuandamana siku ya uchaguzi kuna accomplish nini.
Kama mazuri? ππππHili danga la Hersi nalo linawashwaView attachment 3475107View attachment 3475108
Hahahaha acha ujinga we binti. Eti sikio lina thamani ya 1B.Niliona mahali mtu anasema sikio lake lina thamani ya bilion 1