Hili pumbavu linacho jua kutafuta pesa za.kitapeli na uchawa chawa ......na ngono ngono....na domo lake linaloteketea na fegi na bangi....umbwaMgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Sunday Manara amewajibu wanaomsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na Vijana wanaoshinikiza kufanya maandamano kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu
Akizungumza Leo Septemba 18,2025 na waandishi wa habari Manara amesema amewaasa vijana kuacha kushinikizwa na kufanya maandamano wakati wa uchaguzi nkuongeza kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa dola.
Soma Pia: GE2025 - Mgombea Udiwani kata ya Kariakoo Haji Manara akiomba kura ndani ya Daladala
Naomba mawasiliano ya huyo winga. Mtaani hali sio shwari.Niliona mahali mtu anasema sikio lake lina thamani ya bilion 1