Haji Manara hiki kiburi cha kumjibu RC Kagera anakipata wapi?

Rc allikuwa anahimiza uzalendo kwa wanakagera sidhani kama ilikuwa amri ya kisheria,manara nae yuko sawa tu nae kajibu kama shabiki wa simba
 
Ndani ya Jeshi kuna Simba kibao ambao hawakuridhishwa na uamuzi wa yule Afande

Simba Ina ushawishi kuliko Jeshi japo Jeshi lina nguvu kuliko Simba
Simba haina nguvu yoyote..wapigania uhuru wote walitokea Yanga..Simba ni timu ya mamluki
 
RC ameongea kwa utani wa kimichezo..Moyoni RC ni simba damu
 
Huyu rc akiachwa mwisho wa siku atawazuia vijana kudate na wadada wenye makalio makubwa
 
Unaongea kigoloko kasome historia..timu iliyoanzishwa na mama wa kiarabu mganga itakuwaje na ushawishi

Povu la nini?

Nmefananisha kiushawishi Simba na Jwtz sasa Yanga imetokea wapi?
 
jambo hilo-hilo au linalofanana na hilo lingefanywa na Bashite huyu Manara angelifurahia mnoo.
Kweli kabisa, Manara kwa Makonda hana tofauti na midebwedo kama Steve Nyerere au Karia. Mpaka anaiaibisha Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…