Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba haina nguvu yoyote..wapigania uhuru wote walitokea Yanga..Simba ni timu ya mamlukiNdani ya Jeshi kuna Simba kibao ambao hawakuridhishwa na uamuzi wa yule Afande
Simba Ina ushawishi kuliko Jeshi japo Jeshi lina nguvu kuliko Simba
Simba haina nguvu yoyote..wapigania uhuru wote walitokea Yanga..Simba ni timu ya mamluki
mtoa post wewe ni tatizo sana!!!! hapa cha ajabu ni nini alichokizungumza mr.haji? mm nadhani yupo sawa kabisaHayo majibu ya haji kwa Mkuu wa mkoa wa kagera haji manara anakipata wapi?
Angenyamaza angikosa nini
Hao mabosi wake mbona hawajasema kitu
Inaonyesha wanamheshimu RCView attachment 1217166
Unaongea kigoloko kasome historia..timu iliyoanzishwa na mama wa kiarabu mganga itakuwaje na ushawishiBasi tuseme Wewe una ushawishi kuliko Simba
Unaongea kigoloko kasome historia..timu iliyoanzishwa na mama wa kiarabu mganga itakuwaje na ushawishi
Kweli kabisa, Manara kwa Makonda hana tofauti na midebwedo kama Steve Nyerere au Karia. Mpaka anaiaibisha Simba.jambo hilo-hilo au linalofanana na hilo lingefanywa na Bashite huyu Manara angelifurahia mnoo.