Mkuu katamka yeye kwa mdomo wake kuhamasisha waislam wamedhalilishwa nenda platform ya youtube tafuta mazungumzo yake akiongea na wa andishi wa habari huko mwanzaWewe scatter nafikiri itakua mshabiki wa kwasukwasu una chuki zako binafsi na Haji, umeweka shutuma hapa bila video, kwanini nisiamini hayo maneno umemlisha Haji? Weka video au audio
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani anatamka bila aibu WAISLAMU NCHI ZIMA tumuunge mkono nilimuona jamaa hana adabu na diniHaji ni mtu wa jazba,mtu anae ongea saana huwa ukumgusa pahala analalamika mwaka mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo akichemka kwenye hoja za mpira,mwepesi wa kupanic, anakimbilia kwenye dini,ili wamuonee huruma upande huo awaamshe waje kivita upande huo. Haji mwepesi sana hafai kwenye utani wa mpira awachie wengine,yeye tayari ameshajipatia umaarufu aliokuwa anauwinda. Bahati mbaya yeye ana matusi sana,akiguswa kidogo ndio kama hivyo,kilioHaji, mtu wa ajabu sana! yaanai utani wa kwanye mpira, kaukimbizia kwenye dini, ili aonekane mwema sana, au Jerry aonekane mbaya. Kwanza afananii kuwa hata mwalimu wa madrasa.
Duuh ngoja niende Youtube, kama katamka kweli basi kichwani atakua empty, Jerry alizungumza kwa utani na isitoshe kuambiwa nenda kafundishe madrasa sio tusiMkuu katamka yeye kwa mdomo wake kuhamasisha waislam wamedhalilishwa nenda platform ya youtube tafuta mazungumzo yake akiongea na wa andishi wa habari huko mwanza
Hiyo ya kusema waislamu tumuunge mkono ni kutafta saport,,hapo sasa kesha shindwa anatafta huruma ya waisilamuYaaani anatamka bila aibu WAISLAMU NCHI ZIMA tumuunge mkono nilimuona jamaa hana adabu na dini
Angehimiza waislam tushikamane na kupendana na wautangaze uislam wao kila mahali ilikua ni busara kuliko kuropoka vile
Kwani aliyeanza nani kati ya manara na muro kuongelea habari za dini?Kivp hana kosa asingekua na kosa asingeleta uchochezi wa kidini
Nawewe unaamini mtu aajiriwe Simba Sports Club katika cheo cha msemaji wa timu bila Elimu stahiki ?Ndiyo maana kaambiwa akafundishe madrasa kwa kuwa hata elimu ya form four hana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana degree??ukijibu narudiAcheni wivu, Manara kaajiriwa Simba Kwa vigezo vyote na anamkataba wa kazi.
Someni na nyinyi muajiriwe na sio kutaka Manara afukuzwe kazi bila sababu ya Msingi.
Acheni wivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulawiti na kunajisi vitoto hiyo ni tabia ya mtu sio dini