Haji Manara katudhalilisha Waislamu

Haji Manara katudhalilisha Waislamu

Wewe scatter nafikiri itakua mshabiki wa kwasukwasu una chuki zako binafsi na Haji, umeweka shutuma hapa bila video, kwanini nisiamini hayo maneno umemlisha Haji? Weka video au audio

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu katamka yeye kwa mdomo wake kuhamasisha waislam wamedhalilishwa nenda platform ya youtube tafuta mazungumzo yake akiongea na wa andishi wa habari huko mwanza
 
Haji ni mtu wa jazba,mtu anae ongea saana huwa ukumgusa pahala analalamika mwaka mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani anatamka bila aibu WAISLAMU NCHI ZIMA tumuunge mkono nilimuona jamaa hana adabu na dini
Angehimiza waislam tushikamane na kupendana na wautangaze uislam wao kila mahali ilikua ni busara kuliko kuropoka vile
 
Haji, mtu wa ajabu sana! yaanai utani wa kwanye mpira, kaukimbizia kwenye dini, ili aonekane mwema sana, au Jerry aonekane mbaya. Kwanza afananii kuwa hata mwalimu wa madrasa.
Hapo akichemka kwenye hoja za mpira,mwepesi wa kupanic, anakimbilia kwenye dini,ili wamuonee huruma upande huo awaamshe waje kivita upande huo. Haji mwepesi sana hafai kwenye utani wa mpira awachie wengine,yeye tayari ameshajipatia umaarufu aliokuwa anauwinda. Bahati mbaya yeye ana matusi sana,akiguswa kidogo ndio kama hivyo,kilio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu katamka yeye kwa mdomo wake kuhamasisha waislam wamedhalilishwa nenda platform ya youtube tafuta mazungumzo yake akiongea na wa andishi wa habari huko mwanza
Duuh ngoja niende Youtube, kama katamka kweli basi kichwani atakua empty, Jerry alizungumza kwa utani na isitoshe kuambiwa nenda kafundishe madrasa sio tusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Luna mwalimu wa madras mmoja huko bukoba amefungwa kwa kulawiti wanafunzi wake
 
Yaaani anatamka bila aibu WAISLAMU NCHI ZIMA tumuunge mkono nilimuona jamaa hana adabu na dini
Angehimiza waislam tushikamane na kupendana na wautangaze uislam wao kila mahali ilikua ni busara kuliko kuropoka vile
Hiyo ya kusema waislamu tumuunge mkono ni kutafta saport,,hapo sasa kesha shindwa anatafta huruma ya waisilamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu uzi unafanya nini hapa?viongozi wa taasisi zao wana maisha yao binafsi nje ya taasisi. Haji akipigana na mkewe inatuhusu vipi wanamichezo
 
Ndiyo maana kaambiwa akafundishe madrasa kwa kuwa hata elimu ya form four hana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawewe unaamini mtu aajiriwe Simba Sports Club katika cheo cha msemaji wa timu bila Elimu stahiki ?
Kama unaamini hivyo basi Clabu ya Simba inaajiri wasemaji ambao ni walimu wa Madrasa.
Nenda nawewe kaombe kazi kwa cheti cha Madrasa utapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom