Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga na ninahamu ya kuona club yetu msimu huu inapata mafanikio.
Ujio wa Haji Manara katika timu yetu, bila shaka ni moja ya mikakati ya timu yetu katika kutafuta mafanikio, na leo katika kilele cha siku ya wananchi, Haji Manara amethibitishi uwezo aliona kuwa ni mkubwa katika swala zima la uhamasishaji na pia ana kipaji kwa kazi aliyopewa.
Hata hivyo, hatari ninayoiona ni pale ukitokea mgogoro baina yake na uongozi wa club, na sijui tumejipanga vipi kukabiliana na hali hiyo.Siombei hili litokee, ila pia haimanishi hili haliwezi kutokea, kwani migogoro au kutofautina baina ya wanadamu ni jambo la kawaida.
Swali ni je, tumejipanga vipi kukabiliana na hali hii endapo itatokea?Nashauri tujipange kisaikolojia kuwa na Yanga na Manara na pia Yanga bila Manara kama Msemaji na Muhamasishaji.
Leo hii kile cha wiki ya wananchi kimefana balaa na kuleta furaha kubwa kwa sisi Wanayanga, ila tutambue matokeo ya uwanjani ndio kila kitu na ndio yanaweza kuathiri kia kitu ikiwemo mahusiano ya Msemaji wa Club na Uongozi wa Cub pamoja na mashabiki bila kusahau utekelezaji wa mkataba wa Msemaji wetu na timu yetu.
Hongera sana Wanayanga na pongezi kwa uongozi wa Yanga pamoja na Mfadhili wetu ila tuwe makini sana Manara na tujiandae kuwa na Yanga bora hata pasipo Manara( Manara yuko kimasilahi na anaweza kwenda hata Azam au timu nyingine yoyote mradi tu afike bei).
Mwisho, ndugu Manara, sasa fanya kazi na achana na vijembe visivyo ya kimichezo kwa uliokwazananao huko ulikotoka.
Kila la kheri Wanayanga.