Tetesi: Haji Manara kuitwa kwa Mahojiano Polisi huku TFF ikijiandaa kumpiga rungu la uhakika

Haji akatwe mkono upelekwe kwa mganga wa kienyeji nchi ipate pesa ya kurkebisha viwanja vya mikoani
 
Maandiko yako yanaonesha una roho ya kichawi mpaka unatisha.

Mpira ni sports tu, sio uhasama wa kutafutiana na kuombeana mabaya.
 
Hamumuwezi kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
We binadamu hivi upo?.
Maandiko yako yanaonesha una roho ya kichawi mpaka unatisha.

Mpira ni sports tu, sio uhasama wa kutafutiana na kuombeana mabaya.
Ah kwa issue ya huyu jamaa, nadhani unasahau au hujui zile tabia za kiafrika zenye huruka mbaya as roho mbaya, husuda, unafiki, wivu na majungu.

Hiyo inafanya kazi kwa real lifestyle ya mwafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…