3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
muda mwingne napenda kusokomeza sindano kunako dozi ipenye mapemaChief why are you wasting your good time Educating these Yanga SC Dimwits Fans?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muda mwingne napenda kusokomeza sindano kunako dozi ipenye mapemaChief why are you wasting your good time Educating these Yanga SC Dimwits Fans?
mbona alishindwa kumwaga alivyominywa na barbra?Huo ndio ukweli wenyewe,sasa nyie ombeeni aitwe polisi akamwage ugali na mboga yake then mdhibitiwe mshindwe hata kufanya hayo machupli yenu
Akili yako imejaa Yanga na Simba, takataka kabisa.Nilijua tu kuwa kuna Wapumbavu kama Wewe mtakuja na huu Utetezi hivyo nakupa Darasa kidogo tu la Kisheria ili Ujifunze.
Katika Sheria kuna Ushahidi wa Kiuhalisia na ule wa Kimazingara. Ni kweli Msemaji wa Yanga SC Haji Manara katika post yako hajaitaja Simba SC ila Ushahidi ufuatao wa Kimazingira unamuweka hatiani.
Kwanza ameandika post yake akiwatagi ( akiwataarifu ) Watu wa Asec Mimosa FC waliocheza na Simba SC jana.
Pili ameandika post yake hiyo katika Siku husika ya Mechi ya Simba SC na Asec Mimosa FC.
Tatu Kitendo cha Mtandao wa Asec Mimosa FC iliyocheza na Simba SC jana Kumjibu Haji Manara kuhusu huo Upumbavu wake aliouandika ni Uthibitisho tosha kuwa alilenga Kuihujumu Simba SC jana.
Nakuuliza Swali dogo tu hivi kama post ile ya Hajj Manara ilikuwa haina madhara ya Kisheria na akifunguliwa Kesi atachomoka unadhani ni kwanini haraka sana aliamua Kuifuta?
Tafadhali mkijijua ni Wapumbavu acheni Kuchangia Mada ( Threads ) za Watu Werevu na zinazohitaji Watu Werevu kuzijadili na nyie mbakie tu Wasomaji au Watazamaji sawa?
Nilijua tu kuwa kuna Wapumbavu kama Wewe mtakuja na huu Utetezi hivyo nakupa Darasa kidogo tu la Kisheria ili Ujifunze.Akili yako imejaa Yanga na Simba, takataka kabisa.
Takataka, muda wote unawaza mpira.Nilijua tu kuwa kuna Wapumbavu kama Wewe mtakuja na huu Utetezi hivyo nakupa Darasa kidogo tu la Kisheria ili Ujifunze.
Katika Sheria kuna Ushahidi wa Kiuhalisia na ule wa Kimazingara. Ni kweli Msemaji wa Yanga SC Haji Manara katika post yako hajaitaja Simba SC ila Ushahidi ufuatao wa Kimazingira unamuweka hatiani.
Kwanza ameandika post yake akiwatagi ( akiwataarifu ) Watu wa Asec Mimosa FC waliocheza na Simba SC jana.
Pili ameandika post yake hiyo katika Siku husika ya Mechi ya Simba SC na Asec Mimosa FC.
Tatu Kitendo cha Mtandao wa Asec Mimosa FC iliyocheza na Simba SC jana Kumjibu Haji Manara kuhusu huo Upumbavu wake aliouandika ni Uthibitisho tosha kuwa alilenga Kuihujumu Simba SC jana.
Nakuuliza Swali dogo tu hivi kama post ile ya Hajj Manara ilikuwa haina madhara ya Kisheria na akifunguliwa Kesi atachomoka unadhani ni kwanini haraka sana aliamua Kuifuta?
Tafadhali mkijijua ni Wapumbavu acheni Kuchangia Mada ( Threads ) za Watu Werevu na zinazohitaji Watu Werevu kuzijadili na nyie mbakie tu Wasomaji au Watazamaji
unatatizo kichwani wahi matibabu mapemaTakataka, muda wote unawaza mpira.
Kwahiyo nibadili niwaze Unavyokazwa mno au?Takataka, muda wote unawaza mpira.
Mambumbumbu ni wapumbavu sana alipokuwa kwenu mlikuwa mnakenua kenua akiongea ushuzi sasa hivi kawageuka mnaaza kulialia kenge ninyiHuyu jamaa asipodhibitiwa mapema atatufikisha pabaya kwa maneno yake machafu hasa post za juzi, ikibidi atoe udhibitisho kabs
Ng'ombe weweAmeharibu mno na ameshahatarisha pia Usalama wa Taifa hasa kwa Timu Wageni ambazo zitakuja nchini na hata Athari katika Sekta ya Utalii nayo kwa kiasi fulani imechafuliwa. Aadhibiwe ili iwe Fundisho.
Kuwa kama mtu mzima. Usiwe mshambamshambaKwahiyo nibadili niwaze Unavyokazwa mno au?
Kenge Wewe.....!!!!!Ng'ombe wewe
Nilijua tu kuwa kuna Wapumbavu kama Wewe mtakuja na huu Utetezi hivyo nakupa Darasa kidogo tu la Kisheria ili Ujifunze.Mashabiki maandazi na mihemuko ya hovyo kwani hapo haji kamtaja nani?
Na Wewe Simbilizi ni Mjanja Mjanja na siyo Mshamba si ndiyo? Ngoja nikucheke tu kwa Dharau zangu Kali na Asilia kabisa.Kuwa kama mtu mzima. Usiwe mshambamshamba
Pure uswahili🤣😆kwa mechi gani za kimataifa mlizokuwa mnashiriki alikuw anaandika upuuzi kama huu 👇👇👇
View attachment 2119150
Aiseeee. Nimecheka sanaNa Wewe Simbilizi ni Mjanja Mjanja na siyo Mshamba si ndiyo? Ngoja nikucheke tu kwa Dharau zangu Kali na Asilia kabisa.
Kazidisha na Huu ujinga upo huko utopoloni tu!Mambumbumbu ni wapumbavu sana alipokuwa kwenu mlikuwa mnakenua kenua akiongea ushuzi sasa hivi kawageuka mnaaza kulialia kenge ninyi
Wajinga hao mambumbumbuMashabiki maandazi na mihemuko ya hovyo kwani hapo haji kamtaja nani?