Haji Manara kwa Simba sasa muda wake umeisha

Simba bado ni waswahili tu tena wanafiki wakubwa, MANARA amekaa na simba kwenye wakati mgumu sana, Eti leo aachwe!!! Unafiki tu na majungu kwa kuwa kuna pesa.... SIMBA BADO NI WA MCHANGANI.
 
Wewe ni mmoja ya masalia ya watu wenye akili ambao kwa asilimia kubwa walifariki miaka 20 iliyopita sababu ya akili zao. Yakabaki majitu ambayo yanatumia tumbo na makalio kufikiri.hili jambo nlishawahi kumwambia mtu. Mo ana products nying ambazo hata wanayanga wanaweza hitaji. Mpira si chuki na uadui.na tukubali nchi hii ina mashabili wawili tu.wa simba na yanga. Hawa wengine ni washabiki wenye kushabikia team ya pili ya mkoa aliotoka au aliopo.

Manara hana akili ya kutambua hili.yeye anadhan pia ni msemaji wa yanga kwa mambo hasi. Ni kweli Mo ana akili na ndo maana hata ile video moja anasema simba imara inapatikana kwa kuwa na yanga imara na mwishowe taifa stars imara. Ukiachana na yule bwege kipindi chake aliongea kwa kashfa kuwa anaweza wanunua wachezaji wote wa simba wakacheze coco beach. Mo ni mstaarabu amekataa kununua wachezaji yanga kwa kuikomoa ambayo ndiyo ilikuwa akili ya manji na ikaja kuwa akili ya manara. Umeongea jambo la msingi sana.

 
Hahaha...eti huwa nachange station. Binafsi nimekuelewa, ingawa siko deep on sports issues...but somehow naelewa and thus I concur with you boss.
 
Safi Sana.
 
Udadavuzi yakinifu kabisa.
 
Huyu Mleta Hoja Wa NdalaFC anahitaji Akapimwe Akili!!!
Hivi Hujui Kama Haji Manara Yeye Ni Mkuu tu Wa Kitengo Cha Habari na Wala Si Wa Benchi la Ufundi?

Kama Hujui Kipindi Hichi Cha Haji Manara Ameifanya Simba kuwa Ni Maarufu Zaidi Kuliko Miaka Yote tokea ilipoanzishwa.
Mfano Mdogo iangalie Simba Day Leo alivyoipa Promo ameifanya Kuwa Kujaza uwanja Kiasi Ya Kwamba Haijawahi Kutokea na Kufanya Mapato Yawe Makubwa.
Sasa Mtu Kama Haji Ambaye Munamwita Hana Akili lakini Ameifanya Simba Kukubalika Zaidi na Kuongezeka Mapato Ya Uwanjani nani Yuko tayari Kumpoteza?
Kinachowasumbua Nyinyi Yanga Ni Kwamba Umaarufu Wa Haji Manara Ni Mkubwa Kuliko Hata Wa Timu yenu Nzima.

Na Kila Munapojionesha Nyinyi Yanga Kuwa Mtu Munaemchukia Zaidi Ni Haji Manara! Basi Ndiyo Lunatic honor is his Kuwa Haji Manara Amewashika Ndipo na Anafanikisha Majukumu Yake Na Ndiyomana Hamupendi Kuona Anaendelea Kuwepo.

Lakini Munajipa Tabu Bure Nyinyi Yanga aka Ombaomba! Haji Manara Hapa Simba Haondoki ataendelea Kuwapa Maumivu Kila Munapomchukia.

Na Cha Ajabu Zaidi huu utamaduni Wa Nyinyi Yanga Kutuchagulia nani anafaa na Nani Hafai umeanza lini?
 
umaarufu gani wa kuitukana na kuidhalilisha Yanga???... Haji Manara bila kuizungumzia Yanga hakuna anaemfuatilia.! Huo ndio ukweli...Habari za Yanga zinauzika zaidi ya habari za Simba...Yanga ni timu yenye mashabiki wengi sana mara tatu ya Simba....Haji anachofanya ni kuitangaza Yanga zaidi ya timu yake,..sababu anajua habari za Yanga ndio xinazouzika zaidi...Ndio maana tunamshangaa huyu jamaa analipwa na Simba....Lakini habari za Simba hazijui..anafuatilia za Yanga....Huyu jamaa ni mpuuzi kweli kweli hajielewi,hajui chochote kuhusu kazi yake....Hakuna afisa habari wa timu yoyote duniani anaefuatilia habari za timu nyingine zaidi ya timu yake...Huyu jamaa hafai,inatakiwa atimuliwe hajui majukumu yake ya kazi
 


Haji Manara Ni Muajiriwa Wa Simba na Simba Tunamkubali, Lakini Hafai Kwa Mashabiki Wa Yanga na Yanga Wanataka Afukuzwe!!!
Kweli Maajabu Duniani Hayaishi.
 
Jamani kumbukeni huwez badir nguo ya ndani na sehemu za sir manara atabaki hata uraya wapo wapambe watimu sjui mna ajihuzur ilimuombe afisa habar ataletwa ila mtoa uhondo ni mzalamo daima
 
Mimi Haji Sunday Manara mtoto wa Kariakoo,Mzaramo hakuna MTU wa kunitoa Simba..MNA wivu wa kike..kwi kwi kwi
 
Hapa umedanganya. Kuwa yanga ina mashabiki mara tatu zaidi ya simba tupe takwimu. Haya mambo tuyaongee kisomi siyo kama kijiweni.mimi ni mwanasimba nimeongea kisomi sababu simba kwa sasa inaendeshwa kisasa inabidi iwe na msemaji wa kisasa siyo kama akina dismas au jerry muro na manara.

Wewe unaleta hoja ambayo haipo na huwezi thibitisha.yanga ina mashabiki mara 3 zaidi ya simba....hebu thibitisha. Na bado kwenye mechi za ligi simba wanahudhuria wengi kuliko yanga sasa huoni hpo kama unatumia zaidi hisia kuliko elimu?

 
Kwa akili hizi lazima umkubali....maana mnawaza mle mle.... Ndege wa rangi moja huruka pamoja.

Haji Manara Ni Muajiriwa Wa Simba na Simba Tunamkubali, Lakini Hafai Kwa Mashabiki Wa Yanga na Yanga Wanataka Afukuzwe!!!
Kweli Maajabu Duniani Hayaishi.
 
Umeongea vizuri.. Ila unaposema anakimbizana na la saba na form 4 failures unakosea sana..

Watu hao ndo majority ya mashabiki wa soka la bongo na ndo walipa viingilio kuliko ninyi wasomi..

Hata zile jezi za simba ninyi wasomi hamtaki kuzinunua mkidhani mtaonekana washamba..

Juzi alihojiwa na nilimwelewa sana, alisema kwa sasa MTU wa aina yake anahitajika sana ili kuhamasisha kufahamika kwa brand ya simba.. Then atakapofanikiwa kwa hill, basi atamuachia mwingine aendeleze klabu kisomi kama ninyi wasomi mnavyotaka
 
Manara ataondolewa tu mara baada ya yanga kukaa vizur kiuchumi mana atakua hana cha kufanya
 
ina maana Simba haifahamiki?? hahaha Club ina miaka zaidi ya 70 leo anasema haifahamiki?... Ni nani asieijua Simba.....Kufahamika kimataifa ni juhudi za wachezaji kujituma kwenye mechi za kimataifa ...
 
ina maana Simba haifahamiki?? hahaha Club ina miaka zaidi ya 70 leo anasema haifahamiki?... Ni nani asieijua Simba.....Kufahamika kimataifa ni juhudi za wachezaji kujituma kwenye mechi za kimataifa ... sio uropokaji wa viongozi
 
Manara huko pale kama mhamasishaji, kumbuka PR nzuri wa simba au yanga ni yule mwenyewe kujua kukejeli na kumtania mwenzake.

Hiyo ya usomi sijui mfumo wa kisasa hayana mashiko kwa timu hizi mbili kubwa. Kumbuka Dismas Ten alipochaguliwa msemaji wa yanga mashabiki walilalamika kuwa mpole sana hamuwezi Manara.

Msemaji wa simba yupo kwa ajili ya yanga na msemaji wa yanga yupo kwa ajili ya simba, usomi tupa kule hapa ni utani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…