Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MLETA HOJA TUPO PAMOJA. SIMBA INAENDA KIMATAIFA SASA MPAKA NILISIKIA TETESI KUWA WANAMPANGO WA KUMLETA MTAALAMU WA KUCHAMBUA MECHI "MATCH ANALYZER".
KWA MTIZAMO WANGU NA HILI NILIWAHI KULIZUNGUMZA HAPA JAMVINI NIKAPINGWA SANA KUWA SIMBA HII YA KIMATAIFA HAIHITAJI MTU WA MIPASHO BALI INAHITAJI MTAALAM WA PR HASA. KWA SABABU TIMU ITAKUWA INATANGAZA BIASHARA ZA MAKAMPUNI MBALI MBALI VIPI KWA WALE WAPINZANIA UNAOWATUKANA AU KUWAKASHIFU WATAVUTIKAJE KUNUNUA BIDHAA ZINAZOTANGAZWA KWENYE JEZI? KWANZA WATAJENGA CHUKI NA TIMU HUSIKA THEN WANAJENGA CHUKI NA BIDHAA ZINAZOTANGAZWA NA HIYO TIMU. KWA KUWA MO NI MFANYABIASHARA NAJUA ANAFAHAMU VIZURI MADHARA NA FAIDA ZA PR KWENYE MARKETING NI MATUMAINI YANGU KUWA AIDHA ATAMFUNGA GAVANA MANARA AACHE USWAHILI AU ATATAFUTA MTAALAM ALIYEBOBEA KWENYE HII FANI KWANI MPIRA NI BIASHARA NA KWENYE BIASHARA UKIKOSEA KIDOGO TU BIDHAA ZAKO UTANUNUA MWENYEWE. ENZI ZA KUBISHANA NA JERRY MURO NA KULETA MIPASHO ZIMEPITWA NA WAKATI SASA KUNAHITAJIKA WELEDI WA HALI YA JUU KUIBRAND SIMBA KIMATAIFA.
Hahaha...eti huwa nachange station. Binafsi nimekuelewa, ingawa siko deep on sports issues...but somehow naelewa and thus I concur with you boss.dah.. kwa kweli sijafanikiwa kuipata hiyo kama unayo please iweke hapa. unajua mimi ni msimba hasa lakini kama nikisikia kuna kitu anakuja kuzungumza haji manara huwa nachange station/channel maana jamaa naona kama kiakili hayupo sawa. hii si aina ya wasemaji tunaowataka simba kwa sasa. tunataka wataalamu wa mpira na jamaa ukimwambie azungumzie hata kitaalamu mpira hawezi. kuzungumza ki taaluma hawezi. ni mtu wa kuzungumza vijiweni au sehemu ambazo si rasmi.sasa akili zake zilikuwa zinaendana na muro .. wote wawili mi sikuwa nikiwakubali.
Safi Sana.KWA KIPINDI KAMA HIKI NILITEGEMEA MANARA KWA KUSHAURIANA NA UONGOZI ATANGAZE "BIKO" KWA WATU WATAKAOFANIKISHA KUKAMATWA KWA WATU WANAUZA AU KUTENGENEZA JEZI FEKI KWA MFANO MTU AKIKUTWA NA JEZI FEKI ALIYEMKAMATA AU ALIYEFANIKISHA HUYO MTU KUKAMATWA APEWA LABDA ELFU 10,000. ANAYEFANIKISHA MTENGENEZAJI AU MFANYABIASHARA MKUBWA KUKAMTWA APEWE LABDA ASILIMIA 10% YA THAMANI YA MZIGO ULIOKAMATWA.
BADALA YAKE YEYE ANABAKI KULALAMIKA KWENYE VYOMBO VYA HABARI KUWA WATU WASINUNUE JEZI FEKI. LAKINI HASEMI NI MADUKA GANI AU NI SEHEMU GANI HIZO JEZI ORIJINO ZINAPATIKANA.
Udadavuzi yakinifu kabisa.Wewe ni mmoja ya masalia ya watu wenye akili ambao kwa asilimia kubwa walifariki miaka 20 iliyopita sababu ya akili zao. Yakabaki majitu ambayo yanatumia tumbo na makalio kufikiri.hili jambo nlishawahi kumwambia mtu. Mo ana products nying ambazo hata wanayanga wanaweza hitaji. Mpira si chuki na uadui.na tukubali nchi hii ina mashabili wawili tu.wa simba na yanga. Hawa wengine ni washabiki wenye kushabikia team ya pili ya mkoa aliotoka au aliopo.
Manara hana akili ya kutambua hili.yeye anadhan pia ni msemaji wa yanga kwa mambo hasi. Ni kweli Mo ana akili na ndo maana hata ile video moja anasema simba imara inapatikana kwa kuwa na yanga imara na mwishowe taifa stars imara. Ukiachana na yule bwege kipindi chake aliongea kwa kashfa kuwa anaweza wanunua wachezaji wote wa simba wakacheze coco beach. Mo ni mstaarabu amekataa kununua wachezaji yanga kwa kuikomoa ambayo ndiyo ilikuwa akili ya manji na ikaja kuwa akili ya manara. Umeongea jambo la msingi sana.
umaarufu gani wa kuitukana na kuidhalilisha Yanga???... Haji Manara bila kuizungumzia Yanga hakuna anaemfuatilia.! Huo ndio ukweli...Habari za Yanga zinauzika zaidi ya habari za Simba...Yanga ni timu yenye mashabiki wengi sana mara tatu ya Simba....Haji anachofanya ni kuitangaza Yanga zaidi ya timu yake,..sababu anajua habari za Yanga ndio xinazouzika zaidi...Ndio maana tunamshangaa huyu jamaa analipwa na Simba....Lakini habari za Simba hazijui..anafuatilia za Yanga....Huyu jamaa ni mpuuzi kweli kweli hajielewi,hajui chochote kuhusu kazi yake....Hakuna afisa habari wa timu yoyote duniani anaefuatilia habari za timu nyingine zaidi ya timu yake...Huyu jamaa hafai,inatakiwa atimuliwe hajui majukumu yake ya kaziHuyu Mleta Hoja Wa NdalaFC anahitaji Akapimwe Akili!!!
Hivi Hujui Kama Haji Manara Yeye Ni Mkuu tu Wa Kitengo Cha Habari na Wala Si Wa Benchi la Ufundi?
Kama Hujui Kipindi Hichi Cha Haji Manara Ameifanya Simba kuwa Ni Maarufu Zaidi Kuliko Miaka Yote tokea ilipoanzishwa.
Mfano Mdogo iangalie Simba Day Leo alivyoipa Promo ameifanya Kuwa Kujaza uwanja Kiasi Ya Kwamba Haijawahi Kutokea na Kufanya Mapato Yawe Makubwa.
Sasa Mtu Kama Haji Ambaye Munamwita Hana Akili lakini Ameifanya Simba Kukubalika Zaidi na Kuongezeka Mapato Ya Uwanjani nani Yuko tayari Kumpoteza?
Kinachowasumbua Nyinyi Yanga Ni Kwamba Umaarufu Wa Haji Manara Ni Mkubwa Kuliko Hata Wa Timu yenu Nzima.
Na Kila Munapojionesha Nyinyi Yanga Kuwa Mtu Munaemchukia Zaidi Ni Haji Manara! Basi Ndiyo Lunatic honor is his Kuwa Haji Manara Amewashika Ndipo na Anafanikisha Majukumu Yake Na Ndiyomana Hamupendi Kuona Anaendelea Kuwepo.
Lakini Munajipa Tabu Bure Nyinyi Yanga aka Ombaomba! Haji Manara Hapa Simba Haondoki ataendelea Kuwapa Maumivu Kila Munapomchukia.
Na Cha Ajabu Zaidi huu utamaduni Wa Nyinyi Yanga Kutuchagulia nani anafaa na Nani Hafai umeanza lini?
umaarufu gani wa kuitukana na kuidhalilisha Yanga???... Haji Manara bila kuizungumzia Yanga hakuna anaemfuatilia.! Huo ndio ukweli...Habari za Yanga zinauzika zaidi ya habari za Simba...Yanga ni timu yenye mashabiki wengi sana mara tatu ya Simba....Haji anachofanya ni kuitangaza Yanga zaidi ya timu yake,..sababu anajua habari za Yanga ndio xinazouzika zaidi...Ndio maana tunamshangaa huyu jamaa analipwa na Simba....Lakini habari za Simba hazijui..anafuatilia za Yanga....Huyu jamaa ni mpuuzi kweli kweli hajielewi,hajui chochote kuhusu kazi yake....Hakuna afisa habari wa timu yoyote duniani anaefuatilia habari za timu nyingine zaidi ya timu yake...Huyu jamaa hafai,inatakiwa atimuliwe hajui majukumu yake ya kazi
umaarufu gani wa kuitukana na kuidhalilisha Yanga???... Haji Manara bila kuizungumzia Yanga hakuna anaemfuatilia.! Huo ndio ukweli...Habari za Yanga zinauzika zaidi ya habari za Simba...Yanga ni timu yenye mashabiki wengi sana mara tatu ya Simba....Haji anachofanya ni kuitangaza Yanga zaidi ya timu yake,..sababu anajua habari za Yanga ndio xinazouzika zaidi...Ndio maana tunamshangaa huyu jamaa analipwa na Simba....Lakini habari za Simba hazijui..anafuatilia za Yanga....Huyu jamaa ni mpuuzi kweli kweli hajielewi,hajui chochote kuhusu kazi yake....Hakuna afisa habari wa timu yoyote duniani anaefuatilia habari za timu nyingine zaidi ya timu yake...Huyu jamaa hafai,inatakiwa atimuliwe hajui majukumu yake ya kazi
Haji Manara Ni Muajiriwa Wa Simba na Simba Tunamkubali, Lakini Hafai Kwa Mashabiki Wa Yanga na Yanga Wanataka Afukuzwe!!!
Kweli Maajabu Duniani Hayaishi.
ina maana Simba haifahamiki?? hahaha Club ina miaka zaidi ya 70 leo anasema haifahamiki?... Ni nani asieijua Simba.....Kufahamika kimataifa ni juhudi za wachezaji kujituma kwenye mechi za kimataifa ...Umeongea vizuri.. Ila unaposema anakimbizana na la saba na form 4 failures unakosea sana..
Watu hao ndo majority ya mashabiki wa soka la bongo na ndo walipa viingilio kuliko ninyi wasomi..
Hata zile jezi za simba ninyi wasomi hamtaki kuzinunua mkidhani mtaonekana washamba..
Juzi alihojiwa na nilimwelewa sana, alisema kwa sasa MTU wa aina yake anahitajika sana ili kuhamasisha kufahamika kwa brand ya simba.. Then atakapofanikiwa kwa hill, basi atamuachia mwingine aendeleze klabu kisomi kama ninyi wasomi mnavyotaka
ina maana Simba haifahamiki?? hahaha Club ina miaka zaidi ya 70 leo anasema haifahamiki?... Ni nani asieijua Simba.....Kufahamika kimataifa ni juhudi za wachezaji kujituma kwenye mechi za kimataifa ... sio uropokaji wa viongoziUmeongea vizuri.. Ila unaposema anakimbizana na la saba na form 4 failures unakosea sana..
Watu hao ndo majority ya mashabiki wa soka la bongo na ndo walipa viingilio kuliko ninyi wasomi..
Hata zile jezi za simba ninyi wasomi hamtaki kuzinunua mkidhani mtaonekana washamba..
Juzi alihojiwa na nilimwelewa sana, alisema kwa sasa MTU wa aina yake anahitajika sana ili kuhamasisha kufahamika kwa brand ya simba.. Then atakapofanikiwa kwa hill, basi atamuachia mwingine aendeleze klabu kisomi kama ninyi wasomi mnavyotaka