Haji Manara: Mabaya dhidi ya Yanga SC niliyoyasema nikiwa Simba SC ilikuwa kusherehesha tu

Kwa hiyo kwenye zile press zake we umeona akiongelea magodoro, au alivyotangazwa alitambulishwa kama mkuza brand wa GSM?
Mbona hamtaki kukubali kama yule mfanyakazi wa yanga?
Kweli kabisa yanga wote hawana akili isipokuwa kikwete na Sunday manara,
Rudia kusoma uzi tena halafu rudi katika andiko langu.

Ukimaliza jaribu kuoanisha.
 
Kwani we si umesema huyo kaletwa na GSM aje abrand biashara zake hususan jezi si ndio,,, sasa kubrand jezi na kuizungumzia simba wapi na wapi?
 
Kwani we si umesema huyo kaletwa na GSM aje abrand zake hususan jezi si ndio,,, sasa kubrand jezi na kuizungumzia simba wapi na wapi?
Wengi wenu mnamu attack personally.

Mlianza na campaign ya kumu unfollow account zake za social media,mwishowe mka fail.
 
Usitoke nje ya mada,, usilete habari za sijui yule kaletwa na GSM abrand biashara ya jezi, yule ni mfanyakazi wa yanga period,,,, mbona hazungumzii magodoro kwenye hizo press zake.
Yanga wote hawana akili isipokuwa kikwete na Sunday manara tu,,,, yani matusi yote yale aliowatukana, ina maana wananchi Tanzania nzima mmekosa mtu kabisa mpaka yule jamaa, akina kitenge roho inawauma kweli, mana walishatukanwa kisa yanga na kugombana na watu sababu ya huyo jamaa
 
Uwapokatika hali ya furaha sana jifunze kuweka Akiba ya Maneno, kadhalila uwapo katika ya huzuni sana jifunze kuwema akina ya maneno.

Alisema mhenga mmoja
"Yale maneno yangu yote mabaya dhidi ya Yanga SC niliyokuwa nikiyasema nikiwa Simba SC nilikuwa nasherehesha tu na nashangaa Watu wengi waliyaamini na hata hapa Yanga SC nitasema mabaya ya Simba SC na wana Yanga SC watakaoniamini shauri zao", Haji Manara.

Chanzo: EFM Sports Headquarters leo

Sijashangaa sana kuona karibia 75% ya Viongozi Waandamizi kabisa wa Yanga SC wakiongozwa na Rafiki yangu wa karibu Mwenyekiti wao Dkt. Mshindo Msolla na wana Yanga SC wenye Akili Kubwa wamekasirishwa na Kitendo cha GSM kumnunua Haji Manara kuja kufanya Kazi Yanga SC.

Nauona mwisho mbaya sana wa Haji Manara na GSM ndani ya Klabu ya Yanga SC.

Muda si mrefu nakuja na Exclusive Story ya alichokisema Mhamasishaji wa Yanga SC Antonio Nugaz kwa Mmoja wa Waandamizi wa Yanga SC kuhusiana na ujio wa Haji Manara.

Kwani japo nje akina Nugaz na Bumbuli wanaonekana na Furaha ukweli ni kwamba Mioyoni mwao hali ni tofauti na Kimeshanuka huko.
 
giphy.gif

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa anapretend tu ,unajua ile feelings ukianchwa na Ex wako na bado unampenda halafu kwa wengine unajifanya mwamba kuonyesha you don't care

Na hii ndiyo inamtafuna.Analeta maigizo ya kaole hapa,eti nina raha sana,nimeongezeka kilo 5 wakati ki uhalisia unamuona kabisa kichwa kimekuwa kikubwa kuliko mwili. Na vile Simba wanampotezea ndiyo inazidi kumtafuna,siku akivuka stage ya Denial aka accept the reality atajiona alikuwa mjinga zaidi kufanya haya maigizo yake ya sasa.
 
Usitoke nje ya mada,, usilete habari za sijui yule kaletwa na GSM abrand biashara ya jezi, yule ni mfanyakazi wa yanga period,,,, mbona hazungumzii magodoro kwenye hizo press zake.
Yanga wote hawana akili isipokuwa kikwete na Sunday manara tu,,,, yani matusi yote yale aliowatukana, ina maana wananchi Tanzania nzima mmekosa mtu kabisa mpaka yule jamaa, akina kitenge roho inawauma kweli, mana walishatukanwa kisa yanga na kugombana na watu sababu ya huyo jamaa
Ni kweli mkuu haji Ni msemaji wa Dar young africans,na hata personal benefits young africans ndo wanahusika.

Pia ka promise atafanya kazi yanga 10 times ya alipotoka.

Na mashabiki wengi wa yanga wamempokea haji kwa mikono miwili regardless aliwachafua pindi alipokua simba.

Sasa hapa ninachojiuliza ni kua kwanini wewe Nyonzo bin mvule uumie roho?
 
Unajua Bugatti la Uto ameumia sana kukimbizwa Simba SC

Ndo maana anatumia njia kama hizo kutibu majeraha.
Kuna watu walikuwa wanadai wewe ndiyo Haji Manara.

Nje ya mada mkuu mada zote za mechi za Simba uwe unaziweka kule kwenye special thread ya Simba
 
Ni kweli mkuu haji Ni msemaji wa Dar young africans,na hata personal benefits young africans ndo wanahusika.

Pia ka promise atafanya kazi yanga 10 times ya alipotoka.

Na mashabiki wengi wa yanga wamempokea haji kwa mikono miwili regardless aliwachafua pindi alipokua simba.

Sasa hapa ninachojiuliza ni kua kwanini wewe Nyonzo bin mvule uumie roho?
Mimi siumii roho isipokuwa mashabiki wengine hawataki kukubali kuwa haji manara ni msemaji wa yanga na kudai kuwa eti haji yupo pale kwa ajili ya kubrand bidhaa za GSM
 
Yanga watakaoniamini shauri yao - Manara

Akili kichwani, ila sasa MISUKULE Ina ufahamu?
 
Mimi siumii roho isipokuwa mashabiki wengine hawataki kukubali kuwa haji manara ni msemaji wa yanga na kudai kuwa eti haji yupo pale kwa ajili ya kubrand bidhaa za GSM
Na hana kazi nyingine, mengine ni kupumbaza hiyo Misukule tu.

Na amesema yote atakayoisema Simba mashabiki wa Yanga wakiamini shauri yaoe.
 
Back
Top Bottom