Haji Manara: Mabaya dhidi ya Yanga SC niliyoyasema nikiwa Simba SC ilikuwa kusherehesha tu

Kwa Utopolo kumashangilia manara leo ni ishara tosha kuthibitisha maneno ya manara mwenyewe kuwa yanga wote hawana akili isipokuwa baba yake na Mzee Kikwete.Kwani aliwaambia maneno wanapo yapima wanaona ni kweli ndio maana wamemchukua.

Kuna coach wao aliwahi kusema hawa jamaa ni kama manyani.Kwa hili la Manara ninamuelewa sana yule mwalimu
 
Kilabu ya mpira inapogeuka na kuwav chama Cha siasa kama invyofanya utopolo ni kuonesha umbumbumbu na kukosa ubunifu katika suala Zima la soka pia ni aibu!
 
Na litote uko kidimbwi fc mgawane mbao mpka na nyama za yule Ng'ombe wenu mwenye ugonjwa wa sotoka ndyo akili zitawarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…