Anasema katika kipindi cha kuelekea katika kilele cha wiki ya mwananchi mwezi Agosti mwaka huu 2024 wakati ameenda kambi ya Timu ya Yanga kuongea na wachezaji na bechi la ufundi ili kuwapa plan ya siku hiyo ya wiki ya mwananchi, lakini siku yake ikaharibiwa na kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamond.
Kwa madai ya Manara anasema kocha Gamond alimwambia wewe Haji Manara nasikia ulipost Instagram kwamba mimi nifukuzwe unitaki niwepo Yanga. Manara alipigwa na mshangao baada kuyasikia hayo.
Na tangu hapo hawajawi kuongea na wala kusalimiana licha Manara anasema yeye anamkubali kocha na bado anastahili kuendelea kubaki Yanga zaidi.
Manara hana impact tena, sio simba wala yanga,,,,amebaki anabwabwaja tu ,,, ! Hapo yanga yupo tu kwa sababu ya GSM , kina Hersi walishamchoka ! Mtu mzima [anaelekea 50yrs au ameshafikisha] lakini akili kisoda ! Hajui nini ch kuzungumza na kipi kisizungumzwe

“Kwasasa sina mahusiano yoyote na Engineer Hersi, tuna miezi mitatu nadhani hatujaongea, ni tofauti na hapo zamani nami sijamtafuta kuongea nae kwakuwa yeye si alisema Mimi ni Mwanachama tu sasa Mimi nimwambie nini yeye kila Mtu ana thamani yake ambayo anapaswa kuijua”
- Haji Sunday Manara kupitia AMPLIFAYA ya @cloudsfmtz
Bro Haji alama za nyakati zinaanza kukukataa kwenye game yako uliyoweza kuimasta kwa muda mrefu ya usemaji wa timu za mpira. Kila nikitazama miaka mitatu mpaka minne sikuoni tena ukiwa na ule ushawishi kwenye timu za football. Nakushauri ustaafu kabla haujastaafishwa kwa aibu. Nimekuwa...