CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Sasa naiona Yanga inaelekea kujua walifanya kosa kubwa, siku za nyuma. Kuna miiba huwa inajua kuingia tu, kutoka ni lazima itoke na roho.Wakuu msikie Manara huko!
Anasema katika kipindi cha kuelekea katika kilele cha wiki ya mwananchi mwezi Agosti mwaka huu 2024 wakati ameenda kambi ya Timu ya Yanga kuongea na wachezaji na bechi la ufundi ili kuwapa plan ya siku hiyo ya wiki ya mwananchi, lakini siku yake ikaharibiwa na kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamond.
Kwa madai ya Manara anasema kocha Gamond alimwambia wewe Haji Manara nasikia ulipost Instagram kwamba mimi nifukuzwe unitaki niwepo Yanga. Manara alipigwa na mshangao baada kuyasikia hayo.
Na tangu hapo hawajawi kuongea na wala kusalimiana licha Manara anasema yeye anamkubali kocha na bado anastahili kuendelea kubaki Yanga zaidi.
Vipi hapo wadau huyu Manara alichesema
Haji ni mbinafsi. Anakupenda pale ambapo anajua anapata yeye maslahi. Pale ambapo hapati, anaenda kwenye media kuzungumza negatives. Hii si roho ya kibinadamuKWAHAJI MANARA HAKUNA MTU MWEMA.
HAJI ANA ROHO MBAYA SANA, ROHO MBAYA MNO, ROHO YA KISWAHILI, ROHO YA KOROSHO.
Yule albino fala sana sasa anasema kipindi hiki kigumu kwa kocha ili iweje , mnafiki mkubwaWakuu msikie Manara huko!
Anasema katika kipindi cha kuelekea katika kilele cha wiki ya mwananchi mwezi Agosti mwaka huu 2024 wakati ameenda kambi ya Timu ya Yanga kuongea na wachezaji na bechi la ufundi ili kuwapa plan ya siku hiyo ya wiki ya mwananchi, lakini siku yake ikaharibiwa na kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamond.
Kwa madai ya Manara anasema kocha Gamond alimwambia wewe Haji Manara nasikia ulipost Instagram kwamba mimi nifukuzwe unitaki niwepo Yanga. Manara alipigwa na mshangao baada kuyasikia hayo.
Na tangu hapo hawajawi kuongea na wala kusalimiana licha Manara anasema yeye anamkubali kocha na bado anastahili kuendelea kubaki Yanga zaidi.
Vipi hapo wadau huyu Manara alichesema
Sasa nawaona Yanga wanaelekea kutambua kwamba walifanya kosa kubwa, siku za nyuma. Kuna miiba huwa inajua kuingia tu, kutoka ni lazima itoke na roho.
Lilikuwa kosa kubwa Haji kuingia yanga kosa kubwa sana