Haji Manara : Mitano Tena Kwa Rais Samia Haitoshi.Tumpime Kwa Mazuri Aliyofanya.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Nakubalina kabisa na bwana Manara ex Msemaji wa Makolo kwamba Kwa kazi nzuri na ya kukukuka aliyofanya Rais Samia Kwa miaka hii 4,ni wazi kabisa Mitano Haitoshi labda 10 mingine.

Huhitaji kutafutiza kazi yake inaonekana Kila Kata,Kila Wilaya,Kila Mkoa na Kila sekta ya Nchi hii Kwa Ukubwa zaidi ya watangulizi wake.

View: https://www.instagram.com/reel/DE4_Nb-qTY5/?igsh=MXJoNzl6ZzZyYTl6dg==

My Take
Rais kama Samia Huwa hapatikani Kila wakati kau Kila Nchi.

Kazi Iendelee
 
Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
Kila Rais aliyepo ni bora kuliko aliyemtangulia. Sina shaka ya kuwa atakaefuata atakuwa bora kuliko aliyepo, vivyo hivyo kwa atayefuata baada yake. Haka kaugonjwa ka kusifia kamekuwa sugu na inavyoonekana hakana tiba. Cha kushangaza zaidi ni kuwa wanaosifiwa wanatambua fika kuwa watakapoondoka sifa zitahamishiwa kwa mrithi wake
 
Nakubalina kabisa na bwana Manara ex Msemaji wa Makolo kwamba Kwa kazi nzuri na ya kukukuka aliyofanya Rais Samia Kwa miaka hii 4,ni wazi kabisa Mitano Haitoshi labda 10 mingine.

Huhitaji kutafutiza kazi yake inaonekana Kila Kata,Kila Wilaya,Kila Mkoa na Kila sekta ya Nchi hii Kwa Ukubwa zaidi ya watangulizi wake.

View: https://www.instagram.com/reel/DE4_Nb-qTY5/?igsh=MXJoNzl6ZzZyYTl6dg==

My Take
Rais kama Samia Huwa hapatikani Kila wakati kau Kila Nchi.

Kazi Iendelee

Manara apewe umakamu mwenyekiti.
 
Huyu albino a.k.a zeruzeru huwa anajionaga ana hoja sana, kumbe ni vile watu wanamhurumia tu.
 
Back
Top Bottom