mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manara na ushenzi na misala yake yote bado ana survive na ku thrive. Manara hayupo moral correct ila anajua kuplay the game ya mjini.Ehh aise
Wabongo bana
Ova
Nakubalina kabisa na bwana Manara ex Msemaji wa Makolo kwamba Kwa kazi nzuri na ya kukukuka aliyofanya Rais Samia Kwa miaka hii 4,ni wazi kabisa Mitano Haitoshi labda 10 mingine.
Huhitaji kutafutiza kazi yake inaonekana Kila Kata,Kila Wilaya,Kila Mkoa na Kila sekta ya Nchi hii Kwa Ukubwa zaidi ya watangulizi wake.
View: https://www.instagram.com/reel/DE4_Nb-qTY5/?igsh=MXJoNzl6ZzZyYTl6dg==
My Take
Rais kama Samia Huwa hapatikani Kila wakati kau Kila Nchi.
Kazi Iendelee

Aibu gani?Aibu Kubwa Sana Tanzania Hii
Ana hoja msomeSasa huyu si Chawa tu
Nakubalina kabisa na bwana Manara ex Msemaji wa Makolo kwamba Kwa kazi nzuri na ya kukukuka aliyofanya Rais Samia Kwa miaka hii 4,ni wazi kabisa Mitano Haitoshi labda 10 mingine.
Huhitaji kutafutiza kazi yake inaonekana Kila Kata,Kila Wilaya,Kila Mkoa na Kila sekta ya Nchi hii Kwa Ukubwa zaidi ya watangulizi wake.
View: https://www.instagram.com/reel/DE4_Nb-qTY5/?igsh=MXJoNzl6ZzZyYTl6dg==
My Take
Rais kama Samia Huwa hapatikani Kila wakati kau Kila Nchi.
Kazi Iendelee
Muda wangu ni maliAna hoja msome