ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
👍👍My take😀
Aibe Kwa sababu zipi hasa?Ashinde kihalali na sio kuiba Uchaguzi.
Kama kaiba hata chaguzi ya Serikali za Mitaa hebu fikiria uchaguzi mkuu?Aibe Kwa sababu zipi hasa?
Kila Rais aliyepo ni bora kuliko aliyemtangulia. Sina shaka ya kuwa atakaefuata atakuwa bora kuliko aliyepo, vivyo hivyo kwa atayefuata baada yake. Haka kaugonjwa ka kusifia kamekuwa sugu na inavyoonekana hakana tiba. Cha kushangaza zaidi ni kuwa wanaosifiwa wanatambua fika kuwa watakapoondoka sifa zitahamishiwa kwa mrithi wakeRais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
Manara apewe umakamu mwenyekiti.Nakubalina kabisa na bwana Manara ex Msemaji wa Makolo kwamba Kwa kazi nzuri na ya kukukuka aliyofanya Rais Samia Kwa miaka hii 4,ni wazi kabisa Mitano Haitoshi labda 10 mingine.
Huhitaji kutafutiza kazi yake inaonekana Kila Kata,Kila Wilaya,Kila Mkoa na Kila sekta ya Nchi hii Kwa Ukubwa zaidi ya watangulizi wake.
View: https://www.instagram.com/reel/DE4_Nb-qTY5/?igsh=MXJoNzl6ZzZyYTl6dg==
My Take
Rais kama Samia Huwa hapatikani Kila wakati kau Kila Nchi.
Kazi Iendelee
Ikiwezekana tubadilishe katiba ili Mama aendelee kuongoza Taifa letu.kwa hakika Tanzania itakuwa kama Dubai au Marekani
Na kwamba wakimkemea watachukuliwa wanahatarisha usalama wakeHuyu albino a.k.a zeruzeru huwa anajionaga ana hoja sana, kumbe ni vile watu wanamhurumia tu.