Haji Manara : Mitano Tena Kwa Rais Samia Haitoshi.Tumpime Kwa Mazuri Aliyofanya.

Ehh aise

Wabongo bana

Ova
Manara na ushenzi na misala yake yote bado ana survive na ku thrive. Manara hayupo moral correct ila anajua kuplay the game ya mjini.

Hiyo video na alichokiongea ni advanced intellectual level ya uchawa ambapo machawa wengi hawana. Manara ni storyteller mzuri na ana content thats why mpaka sasa amefanikiwa kwenye propaganda hasa kwenye soka la bongo. Kwenye Soka kuna wasemaji wengi wa timu ila manara ni hodari kwenye kudeliver kile kitu watu au mtu anataka kuskia.

Ova
 
Angalieni msimuue huyu, yule mwingine mlianza kusema hivihivi akajifia mbali huko kabisa.
 
Anautaka u diwani wa kariakoo tena nini??
 
 

Attachments

  • 20250107_214111.jpg
    139 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250112-141523_1.jpg
    202.2 KB · Views: 2
  • _123614664_boda2.jpg.jpg
    997.8 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…