Wewe ni kichaa sijui hata umewahi kuajiriwa Ukasoma walau clause ya Conflict of interest.
Muwekezaji au mdhamini yoyote lazima akubane wewe unaedhaminiwa usiingie kwenye conflict of interest.
Leo ukienda kuomba udhanini Pepsi wa ndondo cup yako lazima watakwambia mashindano yako yasidhaminiwe na kinywaji chochote Baridi.
Mo Kama mdhamini Wa Simba lazima awabane anaowadhamini kuwa waajiri wake wasimuharibie biashara ?
Sportpesa anidhamini Simba unataka kusema Manara anaweza kuchukua dili la M-Bet?
Sent from my CPH1803 using
JamiiForums mobile app