Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Wanakuangalia na jinsi unavyozungumza na kujitetea. Huyu kajaliwa mdomo kwahiyo haaminiki. Mwanaume hapaswi kuzungumza kama huyu Mswahili wa Kariakoo akili yake ipo mdomoniKwani mahakamani kushinda keshi ni kutokana na maneno mengi au facts?!!msimjadili mtu jadili hoja mkuu, je aliyoongea yana ukweli au?!!tatizo la watz wengi sio kwenye michezo/siasa huwa tunakimbilia kumjadili mtu badala ya kile alichokiongea!!
FCC ilikua kikwazo kwa mo,akaleta figisu pale yule mkuu wa awali akaondolewa akaletwa mwingine ndio huyo anayemtumia sasa hivi"Bugati" katufumbua macho watu wengi hasa wale tuliokuwa hatumpendi . Ndio maana MO kila siku alikuwa anamsifia Mwendazake alielewa kwa dhati kuwa Mwendazake akiamua kufukunyua mambo pale clubuni hapatakalika....Tuache utani pamoja na kwamba sie washabiki tunataka makombe tu lakini tukatae tusikubali pale MO anatupiga vibaya...Manara ametumiwa tu watu wenye akili kuropoka ila wapo wengi wanaumia rohoni number moja ikiwa ni watu wa tume ya FCC
Waambie hao maboya,kaz kujadil mtu,hawajadili hoja zake..kwenye kila ktu yan,sisi wabongo mazezeta sana na alyeturoga nampa salutiKwani mahakamani kushinda keshi ni kutokana na maneno mengi au facts?!!msimjadili mtu jadili hoja mkuu, je aliyoongea yana ukweli au?!!tatizo la watz wengi sio kwenye michezo/siasa huwa tunakimbilia kumjadili mtu badala ya kile alichokiongea!!
Sasa hivi ndio aaminiki ila wakati anakuambieni wachezaji wa Yanga wanashindia matikiti alikua anaeleweka sio!Wanakuangalia na jinsi unavyozungumza na kujitetea. Huyu kajaliwa mdomo kwahiyo haaminiki. Mwanaume hapaswi kuzungumza kama huyu Mswahili wa Kariakoo akili yake ipo mdomoni
Unajua kwa umaarufu wa Haji mimi zamani nilikuwa nafikiri Haji analipwa viwango hivyo.Mkuu wahindi ni wabinafsi sana wanaroho ya korosho. Haji angekuwa muhindi angekuwa analipwa mil 15.
Muhindi analipa mshahara ya kikatili sana kwa ngozi nyeusi.
Natamani angeandika kitabu kuliko kutoa stori za kwenye tv.
Mo ni tapeli. CAG akakague hesabu za simba. Yaliyomkuta manara ni mambo ya wahindi. Wahindi wanapenda kudhurumu ngozi nyeusi.
Tuliza wenge jamaaHuyu Haji na waliomtuma ni hovyo sana, na kajichanganya sana.
Kashashindwa. Simba sct msimjibu. Mwacheni abwabwaje mpaka aridhike na roho yake. Hana Nia njema na Simba na anaombea ipate mabalaa. Eti anaongea na mashabiki!
Azam nao kumbe ovyo sana kumtuma huyo ili kutangaza TV yao ndo nn sasa. Simba achaneni na Azam, ukimsoma vizuri manara kila mara Azam tv ndo waliomtuma kutukana live!
Serikali kwa nn mtu huyu atukane muwekezaji tena live kabisa?
Taja mawili mazuri aliyosema Simba wamemtendea. Mawili tu.Kwani mbona kuna mazuri mengi ameyasema?yaani taasisi zote zinafanana kwenye kudhurumu haki za wafanyakazi?sio kweli , mmemtumikisha miaka sita bila mkataba, maadili gani hayo ya kazi ya kumnyonya mfanyakazi?!!kwa nchi hii manara kwa sasa hawezi kukosa kazi kamwe!!!
Wewe hujaelewa kabisa..Ni kwamba Azam walikubaliana na viongozi wa Yanga na Simba meza moja kupata mgao sawa.. lakini alipopelekewa Mo akalikataa dili hiloKumbe kwa Mkataba wa Simba na Azam ulishasainiwa kwa kiwango cha 350ml kwa Mwaka? Kweli nawapa hongera timu yangu Yanga ikiingozwa na Dr Msolla kwa bargaining power waliyonayo.
Wewe ni kichaa sijui hata umewahi kuajiriwa Ukasoma walau clause ya Conflict of interest.Unawezaje kuitofautisha kampuni za mo na simba?huyo manara aliyekuwa anaambiwa kuwa asitangaze bidhaa za mshindani wake, simba wanatengeneza juice?simba wanatengeneza maji?huyo CEO, kabla hamjamtangaza rasmi kuwa simba si alikuwa akifanya majukumu yake, MOET?wajinga kama nyie ndio Mo, anawapenda , anawaambia kwa miaka 4, ameshatumia bilioni21 zake, hajawaambia ktk hizo za simba ni ngapi?huyo mkude kipindi kile kwenye sakata lake la kuwa wazawa hawalipwi vizuri licha ya kuwa na mchango mkubwa kwenye timu?kulinganisha na wageni!!unafikiria ni kwanini FCC, walikuwa wanazuia mchakato huo, wa mabadiriko??ndio hayo hayo walioko kwenye MOET, ndio tena walikuwa simba, hujitambui wewe na ndio KANJIBAI anawapenda.
Sasa nasikia huyo Mo ametishia kuachana na simba!!kitu kidogo anasusa na atawasumbua sana kwani ameshawaona mnamuabudu kama Mungu mtu!!sasa manara kusema ukweli ndio atishie kujiudhuru!!kuhusu conflict of interest, inakuwaje, kisheria haji alikuwa ni muajiriwa wa simba au MOET?na mtu ambaye hata mkataba hana unawezaje kumbana hivyo?hata kama ni hivyo mbona alipowaambia kuwa kuna mkataba nimepewa na azam, kabla cjauridhia mnasemaje, miezi sita hakuna jibu, baada ya kuamua kuusaini , ndio wanakuja na offer ya milioni 3!!Mo ni mnyonyaji nenda kwenye viwanda vyake huko, ukaone wafanyakazi wanavyopata tabu kwa malipo duni.Wewe ni kichaa sijui hata umewahi kuajiriwa Ukasoma walau clause ya Conflict of interest.
Muwekezaji au mdhamini yoyote lazima akubane wewe unaedhaminiwa usiingie kwenye conflict of interest.
Leo ukienda kuomba udhanini Pepsi wa ndondo cup yako lazima watakwambia mashindano yako yasidhaminiwe na kinywaji chochote Baridi.
Mo Kama mdhamini Wa Simba lazima awabane anaowadhamini kuwa waajiri wake wasimuharibie biashara ?
Sportpesa anidhamini Simba unataka kusema Manara anaweza kuchukua dili la M-Bet?
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app