Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

Totally unprofessional from Manara. Mimi sikuwahi kuwa mfuasi wake tokea akiwa Simba.

Ukiachilia tu sifa yake kubwa ya uhamasishaji Manara hafai kupewa nafasi ya maana sehemu yoyote maana ni mropokaji/msema hovyo.

Hata kama ukiachana na mwajiri wako kwa ubaya kwa mtu anaejitambua huwezi kuenda kumchafua sehemu hasa kwenye media.

Hii itakufanya kutoaminika hata na huyo anaetaka kukuajiri maana atajua tu kuwa siku mkishindwana nae utaenda kumchafua tu. Manara na wanaomtumia wote akili zao finyu sana. Hawana upeo mzuri wa kufikiri.
 
Huyu Haji na waliomtuma ni hovyo sana, na kajichanganya sana.

Kashashindwa. Simba sct msimjibu. Mwacheni abwabwaje mpaka aridhike na roho yake. Hana Nia njema na Simba na anaombea ipate mabalaa. Eti anaongea na mashabiki!

Azam nao kumbe ovyo sana kumtuma huyo ili kutangaza TV yao ndo nn sasa. Simba achaneni na Azam, ukimsoma vizuri manara kila mara Azam tv ndo waliomtuma kutukana live!

Serikali kwa nn mtu huyu atukane muwekezaji tena live kabisa?
Huyu itakua anaajiriwa hapo azamlakini sidhani kama katumwa kutukana
Sema haji mwenyewe anau swahili mnoo
 
Totally unprofessional from Manara. Mimi sikuwahi kuwa mfuasi wake tokea akiwa Simba.

Ukiachilia tu sifa yake kubwa ya uhamasishaji Manara hafai kupewa nafasi ya maana sehemu yoyote maana ni mropokaji/msema hovyo.

Hata kama ukiachana na mwajiri wako kwa ubaya kwa mtu anaejitambua huwezi kuenda kumchafua sehemu hasa kwenye media.

Hii itakufanya kutoaminika hata na huyo anaetaka kukuajiri maana atajua tu kuwa siku mkishindwana nae utaenda kumchafua tu. Manara na wanaomtumia wote akili zao finyu sana. Hawana upeo mzuri wa kufikiri.
Sasa hoja zilizoibuliwa na mjumbe wa bodi ya simba, juu ya kwanini alikataa mkataba mpya wa milioni 4, angezijibia wapi?kwani leo ameweka mambo sawa, hata wale waliokuwa wanamtuhumu, wameelewa vizuri, !!yaani boss wako ni ruksa kukutuhumu, lakini wewe hutakiwi kumjibu?!!eti litanifanya nisiaminike ki vipi?!!kwa taarifa yako leo manara amejitua mzigo mkubwa sana!!ina maana haji kwa sasa hataweza kupata kazi sehemu yoyote?!
 
Tatizo kubwa la waandishi wetu wanashindwa kuhoji hata vitu vya msingi, Moo alipoongea waandishi hawakumuuliza hata swali moja hivyohivyo na Manara alipoongea hakuulizwa hata swali moja kwa kifupi wamekuwa wakiongea umbeya
 
Kama demu vile mkiachana anaanza kutangaza mara kibamia mara nn. Anyway ila hii itatusaidia kukaa kwenye reli. Hakuna kinachotokea Bila purpose. Viongozi wangu wa Simba wamesikia penye mushkeli patarekebishwa. Ila hata hiyo walimlea sana.
Inategemea bwana sio kila mahusiano lazima yamalizike hivyo!!Ila hata yeye alivumilia jamani sio kwa UNYONYAJI huu!!¡
 
Wahindi wana roho mbaya sana. Hawataki kuona mwingine akifanikiwa. Ila Haji kwa nini alivumilia yote haya? Nimeamini social media watu hupost furaha tu, kumbe ndani wanalia.
Yan ulichoandika ndio funzo nililopata insta inadanganya nilitaka nianze kuiba ili ni meet life kama ya watu wa nsta kumbe fake fake fake wanashida kama zangu
 
Sasa hoja zilizoibuliwa na mjumbe wa bodi ya simba, juu ya kwanini alikataa mkataba mpya wa milioni 4, angezijibia wapi?kwani leo ameweka mambo sawa, hata wale waliokuwa wanamtuhumu, wameelewa vizuri, !!yaani boss wako ni ruksa kukutuhumu, lakini wewe hutakiwi kumjibu?!!eti litanifanya nisiaminike ki vipi?!!kwa taarifa yako leo manara amejitua mzigo mkubwa sana!!ina maana haji kwa sasa hataweza kupata kazi sehemu yoyote?!

Angeruhusu maswali kama ana hoja
 
Inaonekana hajaridhika kuondoka.
Haji manara ni wale aina ya watu ambao wana vijiba vya roho 😅 hapendi upate na ukiwa nacho hapendi umzidi😅!

Kinachotokea kwa kuwa ameporwa askirimu yake pale simba sc basi ameamua kuwapaka choo tu akina Mo na Babra maana ndio kitu pekee kitampa relief...Ndo yale yale wanasemaga wadau wa mapenzi ukiachwa achika yani Manara anatapatapa haamini kama ametemwa. Anapenda aonewe huruma sana yani aonekane anaonewa ni mlalamikaji sana😅

Haji ana Kiroho cha Kinyongorilo japo napenda uhamasishaji wake ila ana tatizo hilo!
 
Yan ulichoandika ndio funzo nililopata insta inadanganya nilitaka nianze kuiba ili ni meet life kama ya watu wa nsta kumbe fake fake fake wanashida kama zangu
Hahahhaha mamaee ungepotea bro!
 
Sasa hoja zilizoibuliwa na mjumbe wa bodi ya simba, juu ya kwanini alikataa mkataba mpya wa milioni 4, angezijibia wapi?kwani leo ameweka mambo sawa, hata wale waliokuwa wanamtuhumu, wameelewa vizuri, !!yaani boss wako ni ruksa kukutuhumu, lakini wewe hutakiwi kumjibu?!!eti litanifanya nisiaminike ki vipi?!!kwa taarifa yako leo manara amejitua mzigo mkubwa sana!!ina maana haji kwa sasa hataweza kupata kazi sehemu yoyote?!
Ni ngumu kuaminika na watu wanaojielewa. Kwasababu watakuwa tayari wameshamsoma kuwa sio mvumilivu na ni msema hovyo.
 
Mdosi akili kubwa,anazungusha pale pale mkiani faida ndio katia kwenye uwekezaji,ukitaka utukanwe na mikia ulizia faida inayoipata simba kwa yale matangazo ya mo kwenye jezi
Sidhani kama faida inawahusu simba, cha kuhoji ni yale matangazo kwenye jezi yanalipiwa?
 
Kumbe kwa Mkataba wa Simba na Azam ulishasainiwa kwa kiwango cha 350ml kwa Mwaka? Kweli nawapa hongera timu yangu Yanga ikiingozwa na Dr Msolla kwa bargaining power waliyonayo.
Shadeeya Mkuu iko hivi huo mkata wa 350 ml Kwa mwaka ilisainiwa na team zote mbili Yani Simba na Yanga mwaka 2020 kipindi CEO ni Senzo na sio Madam, Ila baada ya tathmini ya kina ya hizi team mbili pamoja na Azam ikaonekana kwamba wamepunjwa hivo ikawa inatakiwa kufanyiwa marekebisho

Yanga kafanya marekebisho yake ndio kaangukia hapo kwenye hizo billion zake ametulia, sasa Azam wanataka na Simba apewe hela Sawa na Yanga Ila Simba hawataki, kama ulismkia Mo majuzi kwenye press yake anasema Simba thamani yake ni kubwa hawezi kukubali akalipwa sawa na watani zake, yeye yupo nafasi ya 12 Africa iweje alipwe Sawa na club iliyopo nafasi ya 80 huko

So issue sio hiyo mil 350 issue ni hizo billion alizolamba Yanga kutaka na Simba apewe the same na Mo akasema siku Ile kama itashindikana Azam kuongeza hela basi atatoa yeye hela ingine kuliko kulipwa Sawa na watani zake, Kwa sasa Haji lengo lake ni kuharibu kwahiyo hawezi kuelezea vizuri, ye anapiga Tu mle ambapo anajua kuna mshono
 
Ina maana Simba haikuwahi kumfanyia jambo lolote zuri au hakuna jambo zuri lolote alilonufaika nalo alipokuwa Simba?

Taasisi zinafanana utendaji leo umeondoka Simba kesho utakuwa kwingine tambua hizi kauli zinaweza kuchangia usipate nafasi kwingine kwani pamoja ya yote ethics za kazi ni muhimu mojawapo ni usiri wa taarifa ya taasisi.
Kwani mbona kuna mazuri mengi ameyasema?yaani taasisi zote zinafanana kwenye kudhurumu haki za wafanyakazi?sio kweli , mmemtumikisha miaka sita bila mkataba, maadili gani hayo ya kazi ya kumnyonya mfanyakazi?!!kwa nchi hii manara kwa sasa hawezi kukosa kazi kamwe!!!
 
Inawezekana akawa na hoja za msingi lakini kiweledi bwana Haji Manara amekosea pakubwa sana....lakini tukirudi kwenye uhalisia umma wa waTanzania hautaki weledi bali ni kucheza na matukio na mihemko......

Bwana Haji Manara ameifikisha kama ambavyo umma wa waTanzania ulivyotegemea afikishe.....

Uswahili uswahili na udaku ndio vinavyompa kula bwana Manara......na jambo zuri ni kwamba anajua sana kucheza na akili za waTanzania.....anajua waTanzania wanapenda nini na kwa wakati gani......

Katika hili Manara amezichanga karata zake vyema.......
 
Back
Top Bottom