Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Jibu hoja!!hizo ni fikra mufirisi!!, kama kuna hilo fungua uzi wake!!Hajaeleza Mzee Tozi alimfanya nini hadi leo hii anakalia tako moja tu?
Kwahiyo mkuu ulitaka awataje hata wasiohusika?
Wote tunaipenda Simba lakini nakuhakikishia Barbra is a ticking bomb, kuna siku tutakuja kulia
Huyu itakua anaajiriwa hapo azamlakini sidhani kama katumwa kutukanaHuyu Haji na waliomtuma ni hovyo sana, na kajichanganya sana.
Kashashindwa. Simba sct msimjibu. Mwacheni abwabwaje mpaka aridhike na roho yake. Hana Nia njema na Simba na anaombea ipate mabalaa. Eti anaongea na mashabiki!
Azam nao kumbe ovyo sana kumtuma huyo ili kutangaza TV yao ndo nn sasa. Simba achaneni na Azam, ukimsoma vizuri manara kila mara Azam tv ndo waliomtuma kutukana live!
Serikali kwa nn mtu huyu atukane muwekezaji tena live kabisa?
Sasa hoja zilizoibuliwa na mjumbe wa bodi ya simba, juu ya kwanini alikataa mkataba mpya wa milioni 4, angezijibia wapi?kwani leo ameweka mambo sawa, hata wale waliokuwa wanamtuhumu, wameelewa vizuri, !!yaani boss wako ni ruksa kukutuhumu, lakini wewe hutakiwi kumjibu?!!eti litanifanya nisiaminike ki vipi?!!kwa taarifa yako leo manara amejitua mzigo mkubwa sana!!ina maana haji kwa sasa hataweza kupata kazi sehemu yoyote?!Totally unprofessional from Manara. Mimi sikuwahi kuwa mfuasi wake tokea akiwa Simba.
Ukiachilia tu sifa yake kubwa ya uhamasishaji Manara hafai kupewa nafasi ya maana sehemu yoyote maana ni mropokaji/msema hovyo.
Hata kama ukiachana na mwajiri wako kwa ubaya kwa mtu anaejitambua huwezi kuenda kumchafua sehemu hasa kwenye media.
Hii itakufanya kutoaminika hata na huyo anaetaka kukuajiri maana atajua tu kuwa siku mkishindwana nae utaenda kumchafua tu. Manara na wanaomtumia wote akili zao finyu sana. Hawana upeo mzuri wa kufikiri.
Hiyo post ya Mondi huko Insta imethibitisha kabisa kwa 90% anayosema Manara yana ukweli ndani yake
Inategemea bwana sio kila mahusiano lazima yamalizike hivyo!!Ila hata yeye alivumilia jamani sio kwa UNYONYAJI huu!!¡Kama demu vile mkiachana anaanza kutangaza mara kibamia mara nn. Anyway ila hii itatusaidia kukaa kwenye reli. Hakuna kinachotokea Bila purpose. Viongozi wangu wa Simba wamesikia penye mushkeli patarekebishwa. Ila hata hiyo walimlea sana.
Yan ulichoandika ndio funzo nililopata insta inadanganya nilitaka nianze kuiba ili ni meet life kama ya watu wa nsta kumbe fake fake fake wanashida kama zanguWahindi wana roho mbaya sana. Hawataki kuona mwingine akifanikiwa. Ila Haji kwa nini alivumilia yote haya? Nimeamini social media watu hupost furaha tu, kumbe ndani wanalia.
Sasa hoja zilizoibuliwa na mjumbe wa bodi ya simba, juu ya kwanini alikataa mkataba mpya wa milioni 4, angezijibia wapi?kwani leo ameweka mambo sawa, hata wale waliokuwa wanamtuhumu, wameelewa vizuri, !!yaani boss wako ni ruksa kukutuhumu, lakini wewe hutakiwi kumjibu?!!eti litanifanya nisiaminike ki vipi?!!kwa taarifa yako leo manara amejitua mzigo mkubwa sana!!ina maana haji kwa sasa hataweza kupata kazi sehemu yoyote?!
Haji manara ni wale aina ya watu ambao wana vijiba vya roho 😅 hapendi upate na ukiwa nacho hapendi umzidi😅!Inaonekana hajaridhika kuondoka.
Hahahhaha mamaee ungepotea bro!Yan ulichoandika ndio funzo nililopata insta inadanganya nilitaka nianze kuiba ili ni meet life kama ya watu wa nsta kumbe fake fake fake wanashida kama zangu
Ni ngumu kuaminika na watu wanaojielewa. Kwasababu watakuwa tayari wameshamsoma kuwa sio mvumilivu na ni msema hovyo.Sasa hoja zilizoibuliwa na mjumbe wa bodi ya simba, juu ya kwanini alikataa mkataba mpya wa milioni 4, angezijibia wapi?kwani leo ameweka mambo sawa, hata wale waliokuwa wanamtuhumu, wameelewa vizuri, !!yaani boss wako ni ruksa kukutuhumu, lakini wewe hutakiwi kumjibu?!!eti litanifanya nisiaminike ki vipi?!!kwa taarifa yako leo manara amejitua mzigo mkubwa sana!!ina maana haji kwa sasa hataweza kupata kazi sehemu yoyote?!
[emoji86]Social Media ni kujimwambafy tu ki uhalisia watu wamechoka
Sidhani kama faida inawahusu simba, cha kuhoji ni yale matangazo kwenye jezi yanalipiwa?Mdosi akili kubwa,anazungusha pale pale mkiani faida ndio katia kwenye uwekezaji,ukitaka utukanwe na mikia ulizia faida inayoipata simba kwa yale matangazo ya mo kwenye jezi
Shadeeya Mkuu iko hivi huo mkata wa 350 ml Kwa mwaka ilisainiwa na team zote mbili Yani Simba na Yanga mwaka 2020 kipindi CEO ni Senzo na sio Madam, Ila baada ya tathmini ya kina ya hizi team mbili pamoja na Azam ikaonekana kwamba wamepunjwa hivo ikawa inatakiwa kufanyiwa marekebishoKumbe kwa Mkataba wa Simba na Azam ulishasainiwa kwa kiwango cha 350ml kwa Mwaka? Kweli nawapa hongera timu yangu Yanga ikiingozwa na Dr Msolla kwa bargaining power waliyonayo.
Sana mkuu ngoja nikomae na life langu yawezekana life yàngu ni afadhari pia kuliko ya watu wa insta sasa haji anapokea mshahara sawa na boom la mtoto wa chuo analopokea kila baada ya siku 60?Hahahhaha mamaee ungepotea bro!
Kwani mbona kuna mazuri mengi ameyasema?yaani taasisi zote zinafanana kwenye kudhurumu haki za wafanyakazi?sio kweli , mmemtumikisha miaka sita bila mkataba, maadili gani hayo ya kazi ya kumnyonya mfanyakazi?!!kwa nchi hii manara kwa sasa hawezi kukosa kazi kamwe!!!Ina maana Simba haikuwahi kumfanyia jambo lolote zuri au hakuna jambo zuri lolote alilonufaika nalo alipokuwa Simba?
Taasisi zinafanana utendaji leo umeondoka Simba kesho utakuwa kwingine tambua hizi kauli zinaweza kuchangia usipate nafasi kwingine kwani pamoja ya yote ethics za kazi ni muhimu mojawapo ni usiri wa taarifa ya taasisi.