kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Adui yako namba moja ni mtu wako wa karibu. Haji alivyokuja Yanga ndiyo atakavyoondoka Yanga. Kama mnadhani Yanga mna siri nyeti ambazo ni mwiko kufahamika kwa Simba na public basi ziwekeni mbali nae kwanza.
Vinginevyo lazima mumlee Haji kama yai, msimkorofishe hata siku moja, vinginevyo iko siku atakwenda atarudi kwenda kuunga mkono juhudi za Simba tena.
Vinginevyo lazima mumlee Haji kama yai, msimkorofishe hata siku moja, vinginevyo iko siku atakwenda atarudi kwenda kuunga mkono juhudi za Simba tena.