TupinkeleMh! Kwani kabonyeza sana?
Hivi kiswahili sanifu kwa hao 'albino' huitwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
TunajifarijiHivi hizi story za kwamba ugonjwa hauwaathiri weusi nani anawadanganya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio vizuri kumuita binadamu mwenzako zeruzeru mbona unakuwa sio mstaarabu Kaka ? Au Kwa kuwa unatumia fake id? Kuwa mtanzania. Watanzania Sisi ni staarabu. Sifa yetu kubwa ni kutumia lugha ya staha.
Hivi hizi story za kwamba ugonjwa hauwaathiri weusi nani anawadanganya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusoma hujui hata picha huoni?Honestly: Haji Manara ni kama.mzungu Tu so na yeye anaweza kuwa vulnerable to Corona.
Hapa ilikuwa unamaana ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo bwana,unakataa zeru zeru unakubali Albino,mbona hamuipendi ligha yenu hivi??Sio vizuri kumuita binadamu mwenzako zeruzeru mbona unakuwa sio mstaarabu Kaka ? Au Kwa kuwa unatumia fake id? Kuwa mtanzania. Watanzania Sisi ni staarabu. Sifa yetu kubwa ni kutumia lugha ya staha.
Aache kufanya shughuli zake kisa corona?? Chamsingi nikujikinga tuu corona yaweza mpata mtu at akiwa ndani, chamsingi mtani wetu achukue tu tahadhari.
Kabao kamoja tu ndo kamempa stress hivyoo tungepiga vibao vinne siangetuletea wanayanga hako kakirusi.
Yaani wewe unauwezo mdogo sana wa kufikiri. Pole sana