Haji Manara na Corona Virus

Haji Manara na Corona Virus

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Haji Manara yupo Ulaya now. Anatembelea nchi tofauti tofauti zilizo barani Ulaya. Nchi za Ulaya zinaripotiwa kuwa na idadi kubwa ya maambukizi ya Corona. Na ugonjwa wa Corona unaripotiwa kuwathiri zaidi wazungu kuliko watu weusi.


Honestly: Haji Manara ni kama.mzungu Tu so na yeye anaweza kuwa vulnerable to Corona.

So please mlio karibu na Haji Manara mshaurini ndugu yenu awe makini Sana Huko alipo na ikiwezekana arudi Bongo haraka iwezekanavyo
 
Haji manara hakusoma alama za nyakat anaona ufahar kuwa huko wakat Ni danger zone Kuna mengne lazima ukubali yapite

kilicho akilini kitumie
 
Aache kufanya shughuli zake kisa corona?? Chamsingi nikujikinga tuu corona yaweza mpata mtu at akiwa ndani, chamsingi mtani wetu achukue tu tahadhari.

Kabao kamoja tu ndo kamempa stress hivyoo tungepiga vibao vinne siangetuletea wanayanga hako kakirusi.
 
Ngoja apigwe karantini huko hawajamwotea tu, akipenga kamasi hovyo wanae kurudi mwaka mpya.
Hali ni mbaya huko kwasasa mashule yanafungwa, watu wanapiga shopping balaa ili ikifika siku wako ready.
Italy tayari kuna mshkaji karipoti hamna kutoka nje.
 
Lugha sahihi na staha ya zeruzeru ni ipi?

Albino sio kiswahili, Wenye ulemavu wa ngozi ni maelezo sio jina


Kuna Semina moja nilihudhuria nikasikia muwezeshaji anasema tusiwaite Vipofu wasioona tukaambiw tuwaite wenye changamoto ya kuona au walemavu wa Macho, yaan siku hizi kutumia lugha sahihi ya kiswahili imekuwa ni udhalilishaji

Kuna siki tutaambiwa Wezi tuwaite wanaochukua visivyo vyao bila ya ridhaa ya mwenyewe
Sio vizuri kumuita binadamu mwenzako zeruzeru mbona unakuwa sio mstaarabu Kaka ? Au Kwa kuwa unatumia fake id? Kuwa mtanzania. Watanzania Sisi ni staarabu. Sifa yetu kubwa ni kutumia lugha ya staha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aache kufanya shughuli zake kisa corona?? Chamsingi nikujikinga tuu corona yaweza mpata mtu at akiwa ndani, chamsingi mtani wetu achukue tu tahadhari.

Kabao kamoja tu ndo kamempa stress hivyoo tungepiga vibao vinne siangetuletea wanayanga hako kakirusi.


Yaani wewe unauwezo mdogo sana wa kufikiri. Pole sana
 
Yaani wewe unauwezo mdogo sana wa kufikiri. Pole sana


Lazima maisha yaendelee mkuu ata Kama corona itasambaa dunia nzima shughuli lazima zitaendelea tu chamsingi nikujikinga.

Wewe mwenye akili kubwa subiri kifike Tanzania na ukae ndani Kama utumbo uone Kama utakula hao mende uko ndani kwako.

China ndo kimesambaa lakini shughuli zinaendelea Ndugu ila wanajikinga sehemu penye hatar zaidi ndo serekali inawaeka karntn.
 
Back
Top Bottom