The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Haji Manara alipokuwa Simba alikuwa bega Kwa bega na Mo, hata walipotokea wazalendo wengine kujaribu kumuuliza Mo kuhusu bilioni 20 yeye alikuwa mbele sana kuwapinga na kuungana na wengine kuwaita wote wanaompinga Mo 'njaa "..na maadui wa Simba.
Hadi yeye Manara alipogombana na Mo na kuhamia Yanga, ajabu akaanza kuwacheka Simba Kwa "magumashi " ya Mo, anawatania na kuwacheka Simba kuwa Mo ni magumashi sio mwekezaji wa Kweli n.k. Kipindi kile kina Mzee Kilomoni wanasema haya walikuwa wanaitwa njaa na waleta vurugu...wasio na shukran kuona timu imepata mafanikio baada ya Mo kuja.
Sasa huko Yanga kaibuka Mzee Magoma na wenzie, hoja Yao iko so simple kabisa, hawasemi GSM afukuzwe, wao wanasema kisheria wanachama ndo wamiliki wa timu. Mwekezaji atakuja kuwekeza asilimia 49 tu, sasa muwakilishi wa mwekezaji. Kwanini tena awe ndo Rais wa timu? Yaani ni sawa na Babra wa Mo awe Rais wa Simba ..how?
Badala hata ya kujibu hoja za wazee hawa Haji Manara na wengine wote wanakimbilia kumkejeli na kumuita huyu Mzee ana njaa n.k...na kwanini alete "vurugu" asiwe na shukran ya kuona mafanikio ya GSm na kijana wake Hersi? same thing walichosema wakati wazee Simba wanajaribu kumhoji Mo, ambae hadi sasa analeta usanii hapo Simba.
Hapa tunaona kuwa wenzetu wengine wakiwa busy kunufaika na ukaribu na matajiri, huwa hawataki kabisa hao matajiri waulizwe lolote, uchawa wanaweka mbele kabisa na kuongoza kukejeli wengine wote wanao uliza, mradi wao wananufaika na hii sio tu Kwa Haji Manara ila ipo Kwa vijana wengi sana. Uchawa huwa mbele kuliko mafanikio ya jamii yote.
Ile inayoitwa generation Z Tanzania imejaa machawa na madalali wasiotaka kusikia lolote mradi walipwe na wanaomtetea.
Pia soma=>Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!