uchawa siasani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mama kaharibia wanawake na wazanzibari wote! Uchawa wenu unaharibu zaidi

    Mama kaharibia wanawake na wazanzibari wote! uchawa wenu unaharibu zaidi. Uchawa wenu hata Mama akiondoka nyie ndio mtapata shida. Naongelea wazanzibari na wanawake. Ku-support haya yanayoendelea ni sawa na kujinyima fursa maana sasa mnawapa wapa watu sababu za kuwabagua huko mbele watasema...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hiki kizimba cha kuzuia mamba kilichojengwa Katavi nacho ni kitu cha kushukuru? Au ndo sarakasi za kampeni?

    Wakuu, Nimekutana na habari hii ikiwa imepambwa na kupendezeshwa kwa grafiki nzuri na caption ya kupendeza kweli. Yaani hiki nacho ni kitu cha kushukuru wakuu? Wakati China wanajenga madaraja ya kilomita 20 na, Marekani inajiandaa kwenda Mars na nchi nyingine za Afrika zinajiandaa kuanza...
  3. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Unataka kujenga nchi 2020s na unawekeza zaidi kwenye UCHAWA uko sawa?

    Mambo lazima yagome, huwezi kufanya huu ujinga na tukaulelea hakuna hiyo namna. Sasa hivi wananchi wa Tanzania wamekosa wawikilishi kabisa kwasababu raisi achallengiwi wenye chochote kila Waziri ni Chawa wake, Kila Naibu waziri ni chawa wake, kila mbunge ni chawa wake, kila diwani ni chawa...
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

    Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame. Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri...
  5. The Boss

    JamiiForums Tanzania Haji Manara na hatari ya njaa kuendesha Tumbo Kwa vijana wengi

    Haji Manara alipokuwa Simba alikuwa bega Kwa bega na Mo, hata walipotokea wazalendo wengine kujaribu kumuuliza Mo kuhusu bilioni 20 yeye alikuwa mbele sana kuwapinga na kuungana na wengine kuwaita wote wanaompinga Mo 'njaa "..na maadui wa Simba. Hadi yeye Manara alipogombana na Mo na kuhamia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ahmed Kombo aliyesema akitoka Yesu na Mtume Muhammad anayefuata ni Rais Samia awaomba Radhi Wakristo na Waislam!

    Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia. Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi. === Pia soma uzi huu...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huu uchawa umezidi: Ahmed Kombo adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia

    Kwenye video hii Ahmed Kombo, mwanaharakati huru, anaelezea ukubwa wa Rais Samia na kumwaga sifa kedekede mpaka kufikia kusema baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia! Amenikumbusha bwana Kabudi aliyemuita Magufuli Mungu afu akazuga kama amekosea! Ndio tunaelekea huku na Rais Samia...
Back
Top Bottom