GE2025 Hiki kizimba cha kuzuia mamba kilichojengwa Katavi nacho ni kitu cha kushukuru? Au ndo sarakasi za kampeni?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Nimekutana na habari hii ikiwa imepambwa na kupendezeshwa kwa grafiki nzuri na caption ya kupendeza kweli.

Yaani hiki nacho ni kitu cha kushukuru wakuu? Wakati China wanajenga madaraja ya kilomita 20 na, Marekani inajiandaa kwenda Mars na nchi nyingine za Afrika zinajiandaa kuanza kutumia umeme wa nyuklia, sisi tunashukuru kwa Kizimba cha kuzuia mamba cha mita 30 sijui 35?

Mna uhakika hiki chama kitatuvusha kweli Watanzania?

=========================

Wananchi wa Kijiji cha Karema wilayani Tanganyika, mkoani Katavi, wameishukuru Serikali chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwajengea kizimba maalum pembezoni mwa Ziwa Tanganyika ili kukabiliana na changamoto ya mamba waliokuwa wakiwaua na kuwajeruhi wananchi kwa muda mrefu.

Akizungumza katika hafla hiyo, Afisa Mkuu wa Idara ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Wilaya ya Tanganyika, Bruno Nicolaus, ameishukuru TAWIRI kwa jitihada zao za kulinda maisha ya wananchi wanaoishi kandokando ya ziwa hilo.

“Serikali inaendelea kushirikiana na taasisi mbalimbali kuhakikisha usalama wa wananchi unaimarishwa. Tutaweka sheria ndogo ndogo kuhakikisha kizimba hiki kinatunzwa na kutumika ipasavyo,” amesema Nicolaus.

kz.png

kz2.png
 
Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961 ina maana for the last 64 years watu walikuwa wanaliwa na mamba kwenye huo mto. Walikuwa wapi muda wote huo kujenga na kodi walikuwa wanakusanya?
Utopia comment
 
Si sababu iko wazi lakini mkuu? Au ulitaka watu waendelee kujeruhiwa?
Halafu watu wakijeruhiwa au kuliwa na Mamba,yeye mwenyewe anaweza akailaumu serikali,
Hua nawashangaa sana hawa watu wanaobishana kwa chuki za kisiasa au kwa ushabiki wa vyama vyao vya kisiasa,

Kwani hao watu wakishukuru kwa kutatuliwa tatizo lao,yeye mleta mada inamuathiri vipi kwenye maisha yake ya kila siku? au anapata hasara gani wao wakishukuru?
 
Kushukuru serikali kwanza kunaifanya serikali ione inachofanya ni hisani tu na si sehemu ya majukumu yake, sasa sidhani kama ni sahihi serikali kuwa na mtazamo wa aina hiyo.

Pili kushukuru serikali hasa kwa mambo madogo kama hayo hudumaza akili ya kufikiri kufanya mambo makubwa zaidi au kufanya kwa ukubwa zaidi, kama viongozi wanaona wakifanya mambo madogo kama hayo tu wanashukuriwa basi hawatowaza kufanya makubwa zaidi wataishia kufanya hayo hayo na kuendelea kujijengea sifa kwa muda mrefu.
 
Tunasubiri baada ya uchaguzi
Mamba watenganishwe na samaki ili akina mama wapate maeneo ya kufanyia shughuli zao
Na
Kuku wapatiwe chanjo
 
Wakuu,

Nimekutana na habari hii ikiwa imepambwa na kupendezeshwa kwa grafiki nzuri na caption ya kupendeza kweli.

Yaani hiki nacho ni kitu cha kushukuru wakuu? Wakati China wanajenga madaraja ya kilomita 20 na, Marekani inajiandaa kwenda Mars na nchi nyingine za Afrika zinajiandaa kuanza kutumia umeme wa nyuklia, sisi tunashukuru kwa Kizimba cha kuzuia mamba cha mita 30 sijui 35?

Mna uhakika hiki chama kitatuvusha kweli Watanzania?

=========================

Wananchi wa Kijiji cha Karema wilayani Tanganyika, mkoani Katavi, wameishukuru Serikali chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwajengea kizimba maalum pembezoni mwa Ziwa Tanganyika ili kukabiliana na changamoto ya mamba waliokuwa wakiwaua na kuwajeruhi wananchi kwa muda mrefu.

Akizungumza katika hafla hiyo, Afisa Mkuu wa Idara ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Wilaya ya Tanganyika, Bruno Nicolaus, ameishukuru TAWIRI kwa jitihada zao za kulinda maisha ya wananchi wanaoishi kandokando ya ziwa hilo.

“Serikali inaendelea kushirikiana na taasisi mbalimbali kuhakikisha usalama wa wananchi unaimarishwa. Tutaweka sheria ndogo ndogo kuhakikisha kizimba hiki kinatunzwa na kutumika ipasavyo,” amesema Nicolaus.

Sarakasi za msimu
 
wewe nenda China .
 
Huyo dogo mwenye utapia mlo anayekata mauno mchangani huku kainua dole gumba ni Lucha.

adriz
 
Back
Top Bottom