GE2025 Hiki kizimba cha kuzuia mamba kilichojengwa Katavi nacho ni kitu cha kushukuru? Au ndo sarakasi za kampeni?

GE2025 Hiki kizimba cha kuzuia mamba kilichojengwa Katavi nacho ni kitu cha kushukuru? Au ndo sarakasi za kampeni?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Halafu watu wakijeruhiwa au kuliwa na Mamba,yeye mwenyewe anaweza akailaumu serikali,
Hua nawashangaa sana hawa watu wanaobishana kwa chuki za kisiasa au kwa ushabiki wa vyama vyao vya kisiasa,

Kwani hao watu wakishukuru kwa kutatuliwa tatizo lao,yeye mleta mada inamuathiri vipi kwenye maisha yake ya kila siku? au anapata hasara gani wao wakishukuru?

Unashukuru kama unafanyiwa HISANI na mtu!

Ukipanda daladala huwa unamshkuru konda kwenye vyombo vya habari kwa kukusaidia kwenda sehemu unayotaka?

Yaani mtu unitoze kodi na tozo kila nikifanya muamala alafu tena NIKUSHUKURU kwa kufanya wajibu wako ambao ulitakiwa kuufanya miaka 60 iliyopita?

Labda sio mimi
 
Kuna watu Tanzania tuna upumbavu wa kuzaliwa, ndio maana tunasifia hadi vitu ambavyo ni wajibu kufanyika na vilitakiwa kufanyika toka karne ya kwanza huko.
 
Back
Top Bottom