Mama kaharibia wanawake na wazanzibari wote! uchawa wenu unaharibu zaidi.
Uchawa wenu hata Mama akiondoka nyie ndio mtapata shida. Naongelea wazanzibari na wanawake.
Ku-support haya yanayoendelea ni sawa na kujinyima fursa maana sasa mnawapa wapa watu sababu za kuwabagua huko mbele watasema wanawake hawawezi kuzuia vurugu, utekaji, mauaji wala kulinda mali.
Hivyo Machawa jiulizeni unajisaidia au mnafuata mkumbo ambao hamjui mwendako.