Kwenye official page yake kule Instagram, Haji amepost nukuu ya meseji anayodai kuwa ni ya 'mchambuzi mmoja' anaeomba msaada wa kodi ya nyumba kwa kiongozi wa Yanga.
Sote tunafaham kuwa binadam yoyote anaweza kupatwa na shida na hivyo kumlazimu kuomba msaada kwa ndugu/jamaa. Sasa inashangaza sana kuona watu hawa wamekosa staha na kuamua kuweka public meseji za wenzao wenye kuhitaji msaada kwa vigezo cha 'eti wachambuzi wamekuwa wanaisema vibaya Yanga'.
Nashauri wajitathmini kabla hawajadharaulika mbele ya jamii