- Thread starter
- #21
JamanWatu wazima na umbea Tena wanaumme.
Wanaumme km mabinti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JamanWatu wazima na umbea Tena wanaumme.
Wanaumme km mabinti.
Hilo ni swali muhimu sanaHaji nae anapatataje access ya kusoma message kwenye simu ya mtu
Atakuwa mpenzi wake labda.Haji nae anapatataje access ya kusoma message kwenye simu ya mtu
Wanawake wanabeba mambo mazito imagine mke wa Haji ana vumilia mangapiAtakuwa mpenzi wake labda.
Yaani mambo ya siri ya mpenzi wake yeye kaja kuyamwaga hadharani.
Huyu mtu hana kifua aisee!
Aibu kabisaAtakuwa mpenzi wake labda.
Yaani mambo ya siri ya mpenzi wake yeye kaja kuyamwaga hadharani.
Huyu mtu hana kifua aisee!
Ni aibu wanaume ku share msg za simu!Hizi ndoa za jinsia moja mbona zinataka kuwa tatizo kubwa hivi?Kwenye official page yake kule Instagram, Haji amepost nukuu ya meseji anayodai kuwa ni ya 'mchambuzi mmoja' anaeomba msaada wa kodi ya nyumba kwa kiongozi wa Yanga.
Sote tunafaham kuwa binadam yoyote anaweza kupatwa na shida na hivyo kumlazimu kuomba msaada kwa ndugu/jamaa. Sasa inashangaza sana kuona watu hawa wamekosa staha na kuamua kuweka public meseji za wenzao wenye kuhitaji msaada kwa vigezo cha 'eti wachambuzi wamekuwa wanaisema vibaya Yanga'.
Nashauri wajitathmini kabla hawajadharaulika mbele ya jamiiView attachment 2583330
Sasa ndoa za jinsia moja zimetoka wapi hapa?Ni aibu wanaume ku share msg za simu!Hizi ndoa za jinsia moja mbona zinataka kuwa tatizo kubwa hivi?
Inawezekanaje mwanaume mwingine akawa na password ya simu,pattern anaijua,anasoma msg kisha wivu unamwingia,anaanza kuchamba mwanaume mwingine mtandaoni!!Na na bado hawa watu wanasema huu mwezi wa toba?!!
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Aaahhh wapi! Ni upuuzi tu wa huku tunajaza watu wasio na manufaa. Mtu analipwa pesa na hama jukumu lolote mhimu kwenye klabu.Soka la bongo bwana hivi hata nchi zingine hufanyika haya kwenye ligi zao?
Sio kawaida mwanaume ku share password na mwanaume mwingine!Haji anawezaje ku share msg na Hersi?We huoni ni tatizo hilo?Sasa ndoa za jinsia moja zimetoka wapi hapa?
Hata mimi nimehisi hivyo hivyo na nikaikumbuka ile picha yao maarufu wamekumbatiana hivi halafu jamaa sijui alishikwa sehemu gani akawa amesisimka hivi!Ni aibu wanaume ku share msg za simu!Hizi ndoa za jinsia moja mbona zinataka kuwa tatizo kubwa hivi?
Inawezekanaje mwanaume mwingine akawa na password ya simu,pattern anaijua,anasoma msg kisha wivu unamwingia,anaanza kuchamba mwanaume mwingine mtandaoni!!Na na bado hawa watu wanasema huu mwezi wa toba?!!
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Nilidhani huyo mchambuzi hajawekwa wazi kuwa ni nani, ila kwa comment hii inaonyesha mmeshamjuaHaji yuko sahihi na nasisitiza aendeleze alipoishia. Huwezi kuomba msaada Kwa Mtu unayemchafua Kila siku na kumchonganisha na Watumishi wake (Wachezaji). Huyu anayeona Mil.4 anazopewa Feisal ni ndogo ndo anaomba msaada wa Kodi ya nyumba?
Unateseka ukiwa wapi!Kwenye official page yake kule Instagram, Haji amepost nukuu ya meseji anayodai kuwa ni ya 'mchambuzi mmoja' anaeomba msaada wa kodi ya nyumba kwa kiongozi wa Yanga.
Sote tunafaham kuwa binadam yoyote anaweza kupatwa na shida na hivyo kumlazimu kuomba msaada kwa ndugu/jamaa. Sasa inashangaza sana kuona watu hawa wamekosa staha na kuamua kuweka public meseji za wenzao wenye kuhitaji msaada kwa vigezo cha 'eti wachambuzi wamekuwa wanaisema vibaya Yanga'.
Nashauri wajitathmini kabla hawajadharaulika mbele ya jamiiView attachment 2583330
Labda chakula ya mwenye simu. Upinde wako wengi Tz hivi sasa.Haji nae anapatataje access ya kusoma message kwenye simu ya mtu
Mazoea ya ajabu sana, unawezaje kusoma SMS za mtuHilo ni swali muhimu sana
Maneno mabaya hayaLabda chakula ya mwenye simu. Upinde wako wengi Tz hivi sasa.
SijakuelewaUnateseka ukiwa wapi!
Imefikia hatua hiyo?Haji roho inamuuma bwana ake kuombwa hela..
Rage ana mademu wengi sana huko YangaRage alisemaje vile kuhusu watu wake[emoji23][emoji23]