Haji Manara na huyo kigogo Yanga wajitathmini

Kwenye official page yake kule Instagram, Haji amepost nukuu ya meseji anayodai kuwa ni ya 'mchambuzi mmoja' anaeomba msaada wa kodi ya nyumba kwa kiongozi wa Yanga.

Sote tunafaham kuwa binadam yoyote anaweza kupatwa na shida na hivyo kumlazimu kuomba msaada kwa ndugu/jamaa. Sasa inashangaza sana kuona watu hawa wamekosa staha na kuamua kuweka public meseji za wenzao wenye kuhitaji msaada kwa vigezo cha 'eti wachambuzi wamekuwa wanaisema vibaya Yanga'.

Nashauri wajitathmini kabla hawajadharaulika mbele ya jamiiView attachment 2583330
Ni aibu wanaume ku share msg za simu!Hizi ndoa za jinsia moja mbona zinataka kuwa tatizo kubwa hivi?
Inawezekanaje mwanaume mwingine akawa na password ya simu,pattern anaijua,anasoma msg kisha wivu unamwingia,anaanza kuchamba mwanaume mwingine mtandaoni!!Na na bado hawa watu wanasema huu mwezi wa toba?!!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ndoa za jinsia moja zimetoka wapi hapa?
 
Soka la bongo bwana hivi hata nchi zingine hufanyika haya kwenye ligi zao?
Aaahhh wapi! Ni upuuzi tu wa huku tunajaza watu wasio na manufaa. Mtu analipwa pesa na hama jukumu lolote mhimu kwenye klabu.
 
Sio wachambuzi tu inasemekana baadhi ya watu wa michezo ikiwemo watangazaji hata hao walioko kwenye timu zinazoshiriki ligi kuu wana kasumba ya kupiga sana mizinga wakikutana na wanazi wa timu zao na mashabiki wa mpira hasa wakienda mikoani au wakishapata namba yako tu hasa ukiwa unachangia mada zao kwenye vipindi vyao, uchawa ambao unakera sana
 
Ni aibu wanaume ku share msg za simu!Hizi ndoa za jinsia moja mbona zinataka kuwa tatizo kubwa hivi?
Inawezekanaje mwanaume mwingine akawa na password ya simu,pattern anaijua,anasoma msg kisha wivu unamwingia,anaanza kuchamba mwanaume mwingine mtandaoni!!Na na bado hawa watu wanasema huu mwezi wa toba?!!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hata mimi nimehisi hivyo hivyo na nikaikumbuka ile picha yao maarufu wamekumbatiana hivi halafu jamaa sijui alishikwa sehemu gani akawa amesisimka hivi!
 
Haji yuko sahihi na nasisitiza aendeleze alipoishia. Huwezi kuomba msaada Kwa Mtu unayemchafua Kila siku na kumchonganisha na Watumishi wake (Wachezaji). Huyu anayeona Mil.4 anazopewa Feisal ni ndogo ndo anaomba msaada wa Kodi ya nyumba?
Nilidhani huyo mchambuzi hajawekwa wazi kuwa ni nani, ila kwa comment hii inaonyesha mmeshamjua
 
Kwenye official page yake kule Instagram, Haji amepost nukuu ya meseji anayodai kuwa ni ya 'mchambuzi mmoja' anaeomba msaada wa kodi ya nyumba kwa kiongozi wa Yanga.

Sote tunafaham kuwa binadam yoyote anaweza kupatwa na shida na hivyo kumlazimu kuomba msaada kwa ndugu/jamaa. Sasa inashangaza sana kuona watu hawa wamekosa staha na kuamua kuweka public meseji za wenzao wenye kuhitaji msaada kwa vigezo cha 'eti wachambuzi wamekuwa wanaisema vibaya Yanga'.

Nashauri wajitathmini kabla hawajadharaulika mbele ya jamiiView attachment 2583330
Unateseka ukiwa wapi!
 
Back
Top Bottom